SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,110
- 75,567
Mbona veterani huyo?
Hii ni ile ambayo Uingereza imeamua kujitoa ?EU au sio ana kaza mwanzo mwisho
Unacheka nn tena? We huoni mguu wa kiti pale ulipo?Umenchekesha sn
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Unacheka nn tena? We huoni mguu wa kiti pale ulipo?
Mama hawezi kuwa mwanafunzi?Mbona n mama huyu
upo sahihi tena naona hatufai humu JfDah, kwel kuna marafiki wabaya. Yaani unampiga picha mwenzako na unakuja kuweka huku?
Kwangu mimi hiyo picha ni ya kawaida tu, ID ni ya UDSM na tunafahamu hali ya joto kwa sasa. Ndio maana hata ukiangalia hapo mesani pana feni. Kavaa hivyo kwa sababu ya hilo joto la Dar na anajiandaa na mtihani/test; anajua udhaifu wake wa kusahau alipoweka vitu vidogo vidogo kama ID. Kaona ili asisahau tena aivae namna hiyo ili wakati wa kwenda darasani kwenye mtihani/test asiisahau.
Sasa anakuja mtu mmoja ambae hana busara anampiga mwenzake picha na kuiweka huku!?
Ni maoni yangu.
TrueHiv bado kuna watu wa naenda shule mpka Leo!?ili iweje sasa!!mi mwanangu ntamtafutia kazi zingine za kufanya sio huu ujinga unaoitwa elimu!shule kibongo bongo zinaongeza ujinga..!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] European Union vs University Exams. Tunahitaji mafaiza foxes wengi humu.Hii ni ile ambayo Uingereza imeamua kujitoa ?