William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Midahalo ya wao kwa wao wanaweza maana wanapingana utadhani nao niwapinzani, yaani wanapinga yanayofanywa na serikali yao. Sumu ni wao na wapinzani,looooh, hapo humpati mtu. Na hiyo ndiyo inadhihirisha unafiki wa CCM. Yaliyosemwa na Mwigulu jana kwenye kuangaza nia yanakubalika kwa wana CCm kwakuwa yamesemwa na Mwana CCM na ndio ukweli wenyewe. Ukweli huo ukisemwa na mpinzani kwa watu walewale utasikia oooh watu hawa hawana shukurani, hawaoni yaliyofanywa na CCM, utapondwa hadi ukome. Hii inamaana uozo unaofanywa na wao wanauona likini wanaulinda pale wapinzani wanapotaka kuufichua na ndiyo sababu kubwa ya kuwaondoa madarani.CCM na midahalo ni paka na panya!
Inabidi kingunge aje kuongea kwa niaba ya lowasa.
nape aombe ubalozi,lowasa huyoooo anaingia ikulu,historia inaonyesha nape kamtukana sana edounakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.
CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu
hiyo karata ni jembe au kisu?
unakiu ya kupata kiongozi bora kutoka CCM na ufisadi na groap lao limekuzidi nguvu . Karata ya mwisho ni hii.
CCM iandae midahalo ya wazi kwa wagombea wake wa uraisi na iwe live kwenye tv. Hapo watanzania watachambua mbivu na mbichi na CCM itapata ngombea mwenye nguvu
Na wewe usiwe mwepesi kihivyo unataka kuiga kila hata visivyoigikia?
Ni Watz wangapi wanatv majumbani mwao? Takwimu zinaonyesha ni asilimia 14% ya Watz ndio wana Umeme achilia mbali kuupata kwa kila siku na huko ni Mjini, na zaidi ya asilimia 90% ya Watz waishio vijijini hawana Umeme na hao ndio wapiga kura wakubwa sasa huo mdaharo watauonea wapi?
Jamani hebu rudini Duniani inaonekana mnaishi space unafikiri kwa kuwa unaishi Sinza na watu wanaenda kuangalia TV Bar kila Mtz yuko hivyo?