Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Hafu kaskazini ina mikoa zaidi uliyoitaja sema watu wameikremisha hyo
KASKAZINI ipo moja tu....
Izo Kaskazini zingine sijui Kaskazini Magharibi zenye mikoa ya Mara na Mwanza hazitambuliki inajulikana KASKAZINI moja tu ya Kilimanjaro Arusha feat. Manyara na Tanga...

We kaskazini gani unalala njiani ukisafiri kwa basi?
 
Yeah ni kweli. huwezi fanikiwa katika maisha kama hujivunii, hupasifii au kupenda kwenu. Angalia mataifa makubwa yote. Angalia wahindi, wachina, Waisrael, Wamarekani, n.k. Kwa hapa bongo watu wenye kupenda kujivunia ni Wahaya na Wachaga. Huoni wanavyozidi kustawi. Mtu ukijidunisha ndivyo unavyozidi kuwa duni.

Embu angalia Wazungu, huwezi kudhani kabisa kwamba wapo wazungu masikini kutokana na wao kujitukuza. Na hata vyombo vyao vya habari huwezi sikia habari mbaya kutoka kwao. Lakini wapo wazungu masikini kuliko hata waafrika huku. Kujitukuza kunawafanya wawe vile wasemavyo. Maneno yanaumba Mkuu.
 
KASKAZINI ipo moja tu....
Izo Kaskazini zingine sijui Kaskazini Magharibi zenye mikoa ya Mara na Mwanza hazitambuliki inajulikana KASKAZINI moja tu ya Kilimanjaro Arusha feat. Manyara na Tanga...

We kaskazini gani unalala njiani ukisafiri kwa basi?
Kulala njiani hakumaanishi sehemu ndo maana kuna kaskazini magharibi na mashabiki vivo hivo na kusini mashariki
 
yaaap ni vizuri na katika hii sekta ya kusifia kwenu mpo vizuri basi msisahau pia kuisifia nchi yetu kwa ujumla
 
Kulala njiani hakumaanishi sehemu ndo maana kuna kaskazini magharibi na mashabiki vivo hivo na kusini mashariki
Sasa KASKAZINI ipo moja tu ambayo nimekuambia apo juu....

Usilazimishe mana watu wa makabila bana sasa unataka uongeze mikoa ya ajabu ajabu kwenye kanda ya KASKAZINI? Acha izo bana.

Kaskazini ni moja tu iyo kanda ya nyonyo haiwezi kuingia kwnye KASKAZINI ya ukweli kwa gia ya Kaskazini Magharibi no way.
 
yaaap ni vizuri na katika hii sekta ya kusifia kwenu mpo vizuri basi msisahau pia kuisifia nchi yetu kwa ujumla

Nchi tunaisifia tukiwa nje ya nchi. Hata wahaya au wachaga huwezi kuta wanajisifu wakiwa kwao. Ila wakiwa nje ya kwao utasikia kule kwetu. Ndivyo ilivyo Mkuu. Mimi nikiwa Moshi utanikuta nikiukosoa vilivyomji ule kutokana na kuuona haukui. Na hata tunaotokea huko wote tunalalamika sana tukiwa moshi au Arusha kuwa hapakui. Lakini tukiwa nje huwezi kusikia tukipaponda home. Tunatumia kauli ya Nyumbani ni nyumbani
 
ni sahihi kabisa hivyo mkuu kumbe hamuoni vibaya kwa Raisi wetu anavyo jaribu kujenga kwao?
 
Mkuu wewe kumbe hutaki hao wengine waingie ila haihalalishi ukweli wa hzo kaskazini magharibi.

Hahaaaa eti kanda ya nyonyo nimepata kitu kipya
 
Duuh
 
ni sahihi kabisa hivyo mkuu kumbe hamuoni vibaya kwa Raisi wetu anavyo jaribu kujenga kwao?

Binafsi sioni tabu yoyote. Sasa asipojenga kwao si atakuwa mjinga. Mtu asiyelipa fadhila kwao ni mtu aliyelaaniwa. Ajenge tuu. Namshauri awekeze kwenye elimu zaidi, Afya na barabara
 
Binafsi sioni tabu yoyote. Sasa asipojenga kwao si atakuwa mjinga. Mtu asiyelipa fadhila kwao ni mtu aliyelaaniwa. Ajenge tuu. Namshauri awekeze kwenye elimu zaidi, Afya na barabara
kweli kwa sababu mwl Nyerere alipasahau kwao mpaka sasa ni moja ya wilaya ambayo iko nyuma na yenye matatizo chungu nzima
 
Ngoja waje wale watu wa kanda ile uone matusi yao....,
 
Si unaona
Ningezaliwa huko siningechezwa ngoma na kuozwa kitambo
Serikal inapaswa kukumbuka baadhi ya maeneo ya nchi hii kwakwel

Huko kuchezwa ngoma ndo kukoje maana sijawahi kuonaga ngoma zaidi ya tv yetu pendwa tibisii

Nakumbuka nilipitaga kwenye tovuti moja ya porno nikashangaa kukuta eti hadi namna ya kukatikia naniliu hapo kinawekwa kinanliu alafu unakikaktikia kuna ka ukweli na mimi nitoke huku Kibosho Kirima
 
Hatuwapi uongozi kivipi Mkuu? Embu muangalie Halima Mdee, Vipi Anna Kilango Malechela, vipi Asha Rose Migiro, Si CCM si CHADEMA kote wanapewa uongozi mkuu
 
Huwezi elewa mambo ya kusini haya
Utatelekeza mkeo na watoto kibosho bulee
Usirud kaskazin
 
Huwezi elewa mambo ya kusini haya
Utatelekeza mkeo na watoto kibosho bulee
Usirud kaskazin

Bado mimi bachela ndo kwanza miaka 27 sina hata mpango wa kuoa mpaka 35 kisha nipate watoto 2. Huko kuchezwa ndo kukoje ebu nipe vionjo unaweka kuwa wifi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…