Hii ndio Kanda ya Kaskazini

Kweli wanapenda kushoboka sana hafu wanakosa sauti sema wanawake wakule wana akili wanawafundisha maisha na kutoa ushamba, ujue ili mwanaume asimame anahtaji mwanamke anayejielewa. Sasa wao ndo wanaoa hao kwa wingi Dada zao nani atawaoa.


Mkuu mimi sisemi mengi, nisijeonekana mbaguzi
 
Hahahah kweli aiseeh
Mie ni mkaskazini kwa kuzaliwa
Namshukuru mzee wangu kuhamishiwa kaskazini akaenda na mkewe na kaka yangu
Wengine tukazaliwa huko
Ningezaliwa lindi leo sidhan kama hata ningesoma mweeh
Kumenifunza elimu,kusali,kazi na kutafuta mbesa
Mzee wangu alistaafu akarudi nyumban vijana tukamgomea
Akatuachia mji sema huwa tunaenda msalimu mara kwa mara
Na kila likizo mimi na ndugu zangu lazima tukutane kaskazin kuhesabiwa hahahah
 
Kweli mkuu shukuru sana Lindi siyo poa nilichaguliwa huko kidato cha tano enzi hizo hata barabara haina lami ugumu niliopata ilibidi niame
 


Mkuu hata mimi damu yangu si ya kaskazini ila nimezaliwa huko
 
Mimi hata sio wa huko ila haimaanishi siwezi kusema kitu from different angles kulingana na experience I'm from Singida.

Hyo ya kuwapoteza wanaume sidhani ka ina ukweli maana sijawahi kuona case ka hyo,hafu nyie wanaume ndo hujipoteza kwa Mipango kando haiwezekani Mali tuchume wote tukipata wewe ufikirie ubinafsi wako bila kujali watoto hafu uachwe, nadhani wanaowatanguliza wenzi wao hu angalia future ya Mali na watoto, wakati nyie wanaume hujiwazia ubinafsi tu.


Yeah nchi yetu ni moja na kila kanda ina muhimu wake kwa nchi yetu u tofauti,tofauti ndo hufanya nchi yetu iwe moja, kila kanda ina bora wake na udhaifu wake.
 
Kweli mkuu shukuru sana Lindi siyo poa nilichaguliwa huko kidato cha tano enzi hizo hata barabara haina lami ugumu niliopata ilibidi niame
Namshukuru sana Mungu pamoja na mzee wangu
Manake hakurudi kwao hadi alipostaafu
Akatuachia mji
Nimepiga skul safi hadi varsity sababu ya kuzaliwa kaskazin
 
Mkuu tafadhali soma andiko langu lililofuata nilikuwa natania tu usinichukulie serious maana .. mimi mwenyewe nipo kaskazini kwa sasa ili charity begin at home umepasifia sana nyumbani ila usiwe mtu wa ukanda sanaa halafu mm cyo mwenyeji huku ila nimejaribu kutembea tembea hakuna tofaut sana na kanda nyingine vyote ulivyovitaja vipo pia kanda nyingine sema hongera watu wa kaskazini mnajua kupasifia nyumbani
 
Mkuu hata mimi damu yangu si ya kaskazini ila nimezaliwa huko
Si waona kaskazin ni shiderr
Tunawaponda tu ila wako vizuri katika elimu,afya,na kuandalia family future
Kila decemba mie na kaka zangu lazima tufike kaskazin kuhesabiwa hahaha
 
sawa Mkuu hongereni ila muwe na usawa na hao wanawake kwa sababu najaribu kuangalia kwenye masuala ya uongozi kama ubunge naona hamuwapi sana nafasi ila suala la elimu ni mhimu ili kupunguza utegemezi kwenye jinsia ya kiume pia kuleta maendeleo katika taifa
 
Yes ndio ukwel
Wakaskazin wana sisitiza elimu kwa watoto haijalishi jinsia
Tofauti na kwingineko mtoto wa kike alionekana chombo cha starehe tu
Nina story moja ya mtoto wa kaka yake baba alikujaga kaskazin enzi hizo
Alikuwa kanizid sana tu
Akanikuta darasa la 3
Basi mzee akamwombea shulen kwetu pale akaingia darasa la 5
Alipomaliza darasa la 7 baba yake akamtuma kaka yake aje amchukue arudi nyumbani washamtafutia mchumba, mzee wangu akakataa ila kaka yake akafosi arudishwe,kweli akaondoka
Miaka imeenda wakati niko chuo kikuu
Akaja tutembelea nyumban ana watoto wa4, kaachika, amezeeka hadi huruma
Nakumbuka aliniasa nisome sana
Maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…