Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 10, 2014 Thread starter #21 SHIEKA said: Halafu wakitoka hapo ndio wanakuwa wazalendo? Click to expand... Iulize serikali mkuu
haa mym JF-Expert Member Joined Jul 7, 2014 Posts 4,832 Reaction score 4,627 Jul 11, 2014 #22 acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,711 Jul 11, 2014 #23 Bulldog said: Kama una mwanao huko kamchukue Click to expand... Hahahahahaaaaaaa. Unaweza ukafika ukampotea jinsi alivyobadilika...
Bulldog said: Kama una mwanao huko kamchukue Click to expand... Hahahahahaaaaaaa. Unaweza ukafika ukampotea jinsi alivyobadilika...
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 11, 2014 #24 Bulldog said: View attachment 170020 Click to expand... dah! Mkuu nmekumbuka mbali sana mwili umenisisimka. Hyo kaz inatakiwa ujitoe kwa moyo wote na usilazmishwe na mtu. Viva JKT
Bulldog said: View attachment 170020 Click to expand... dah! Mkuu nmekumbuka mbali sana mwili umenisisimka. Hyo kaz inatakiwa ujitoe kwa moyo wote na usilazmishwe na mtu. Viva JKT
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 12, 2014 Thread starter #25 Bishop Hiluka said: Hahahahahaaaaaaa. Unaweza ukafika ukampotea jinsi alivyobadilika... Click to expand... Wanaita uzalendo
Bishop Hiluka said: Hahahahahaaaaaaa. Unaweza ukafika ukampotea jinsi alivyobadilika... Click to expand... Wanaita uzalendo
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 12, 2014 Thread starter #26 Mgirik said: dah! Mkuu nmekumbuka mbali sana mwili umenisisimka. Hyo kaz inatakiwa ujitoe kwa moyo wote na usilazmishwe na mtu. Viva JKT Click to expand... Is this the best way kutunza uzalendo?
Mgirik said: dah! Mkuu nmekumbuka mbali sana mwili umenisisimka. Hyo kaz inatakiwa ujitoe kwa moyo wote na usilazmishwe na mtu. Viva JKT Click to expand... Is this the best way kutunza uzalendo?
kisumapai JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 544 Reaction score 219 Jul 12, 2014 #27 Acha wafe kwanini walichelewa kwenda shule
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,258 Reaction score 13,368 Jul 12, 2014 #28 Bulldog said: Is this the best way kutunza uzalendo? Click to expand... uzalendo upo ndani ya moyo wa mt na haupandikizwi na mtu yeyote. Hvyo kuwalazmisha watoto kuingia Jkt kwa sababu ya kujenga uzalendo sio kweli. Mzalendo anajitoa mwenyew
Bulldog said: Is this the best way kutunza uzalendo? Click to expand... uzalendo upo ndani ya moyo wa mt na haupandikizwi na mtu yeyote. Hvyo kuwalazmisha watoto kuingia Jkt kwa sababu ya kujenga uzalendo sio kweli. Mzalendo anajitoa mwenyew
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,669 Jul 12, 2014 #29 kisumapai said: Acha wafe kwanini walichelewa kwenda shule Click to expand... Songea,Kitai,Mkako,Kigonsera,Mbinga hawajambo?
kisumapai said: Acha wafe kwanini walichelewa kwenda shule Click to expand... Songea,Kitai,Mkako,Kigonsera,Mbinga hawajambo?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,361 Reaction score 6,441 Jul 12, 2014 #30 Mpenda kazi said: Uzalendo huo mi siutaki! Click to expand... Washenzi wakubwa watoto wao hawaendi huko, wakienda wanapewa special attention!
Mpenda kazi said: Uzalendo huo mi siutaki! Click to expand... Washenzi wakubwa watoto wao hawaendi huko, wakienda wanapewa special attention!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jul 12, 2014 #31 huko jeshini mbona wanajibinua binua wanaume ni kosa
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 12, 2014 Thread starter #32 miss chagga said: huko jeshini mbona wanajibinua binua wanaume ni kosa Click to expand... Ukiinama ni kujibinua??
miss chagga said: huko jeshini mbona wanajibinua binua wanaume ni kosa Click to expand... Ukiinama ni kujibinua??
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Jul 12, 2014 #33 Bulldog said: Ukiinama ni kujibinua?? Click to expand... Hawajainama wamebinuka sarakasi
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Jul 12, 2014 #34 haa mym said: acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo Click to expand... ...toka kule,mateso ndo siri za nchi,?ndo maana mnang'oa meno watu,kisa usalama...
haa mym said: acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo Click to expand... ...toka kule,mateso ndo siri za nchi,?ndo maana mnang'oa meno watu,kisa usalama...
Mkubwa ndevu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 1,043 Reaction score 358 Jul 13, 2014 #35 huu ujinga tu
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jul 13, 2014 #36 Bulldog said: Is this the best way kutunza uzalendo? Click to expand... Wewe ni fa,la na bwe,ge...........ulisikia jeshini watu wanacheza kigodoro !?
Bulldog said: Is this the best way kutunza uzalendo? Click to expand... Wewe ni fa,la na bwe,ge...........ulisikia jeshini watu wanacheza kigodoro !?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 14, 2014 Thread starter #37 Ally Kombo said: Wewe ni fa,la na bwe,ge...........ulisikia jeshini watu wanacheza kigodoro !? Click to expand... fa.la wewe na ba.ba ako bwe.ge wewe na ma.ma ako
Ally Kombo said: Wewe ni fa,la na bwe,ge...........ulisikia jeshini watu wanacheza kigodoro !? Click to expand... fa.la wewe na ba.ba ako bwe.ge wewe na ma.ma ako
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Jul 14, 2014 #38 decomm said: Umekosea, wanasema(ga) Yelo vesti ya kijani!... Wakati mwingine Grin vesti ya njano! Click to expand... Kweli eeeeh? Operesheni Miaka 30 ya Uhuru walikuwa wanasema kama nilivyo sema....
decomm said: Umekosea, wanasema(ga) Yelo vesti ya kijani!... Wakati mwingine Grin vesti ya njano! Click to expand... Kweli eeeeh? Operesheni Miaka 30 ya Uhuru walikuwa wanasema kama nilivyo sema....
navy boi JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 1,520 Reaction score 482 Aug 8, 2014 #39 hayo ndo mafunzo ya kijeshi yakienda tofauti na hapo inakuwa picnic au kitchen party zinaitwa kazi za watu cha kuomba n kumaliza salama tu
hayo ndo mafunzo ya kijeshi yakienda tofauti na hapo inakuwa picnic au kitchen party zinaitwa kazi za watu cha kuomba n kumaliza salama tu
Mjamaa1 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 7,836 Reaction score 6,281 Aug 8, 2014 #40 haa mym said: acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo Click to expand... Hawajui tu. Navojua mm wanovujisha hizi picha ni hawahawa askari wetu mpaka zinasambaa hivi.
haa mym said: acha kuweka mambo ya kijeshi kwenye mitandao ya jamii ujui ni siri za nchi hizo Click to expand... Hawajui tu. Navojua mm wanovujisha hizi picha ni hawahawa askari wetu mpaka zinasambaa hivi.