ravinder
Member
- Oct 31, 2016
- 29
- 10
watu wengi nikiwemo mm nlijaribu ku login kwenye account yangu ili kuona kujaza hilo dodoso lakini cha ajabu naambiwa niingize neno lilopo below lakin cjafanikiwa kwa maana inagoma login ..sasa nauliza hivi kama itagoma kufunguka mpaka muda ukaisha c ndio hauna chako? au huu ni mpango mahususi wa kupunguza wanufaika kwani wamesema bila kujaza utakuwa umekosa sifa?