SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,380
Hawaaminiani hata siku moja mkuu,hasa ukiwa denomination/dhehebu tofauti na nchi yao ndo usahau kabisa kusaidiwa...Wanakimbilia ulaya kwa sababu wanajua huko ndio sehemu salama zaidi kwa wao kuishi kuliko middle east,any time kinawaka.Pia kwanini inch kama Turkey, Jodarn, Iran, Saudi arabia, Pakistan na Egypt zote hazitoe msaada kwa wakimbilizi hata kuwapokea. Naona inch kama Germany ndio inajitaidi kutoa msaada