technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,475
- 50,865
Wakuu salaam...
Nimekuwa mtu wa dini Roman Catholic kwa muda mrefu lakini toka nimeanza kusali nikiwa najitambua nikiwa na miaka 5.
Mpaka sasa sijawai kuona faida ya maombi zaidi na nionavyo sasa I see the miracles now aloud me naona nguvu na miujiza ipo kwangu sasa I have everything I want and I love my life.....
Kwa wale mnaishi Tanzania itakuwa ni ngumu kunielewa lakini ukweli ndio huo toka nimeanza kusali na kuomba mambo makubwa tokea hata nikiwa nyumbani Tanzania na nilipondoka na kuishi nje ya nchi sijawai pata miujiza ya maombi yangu kama sasa....
Maombi haya kwa sasa yananipa ujasiri na nguvu ya ziada ya hapa now I see&have all Power to fight through spiritual weapons with all my enemy.
Nawashukuru sana ndugu zangu na jamaa zangu walionisaidia kwenye mambo ya dini na kufanikisha Mimi kuwa mcha Mungu lakini I'm sorry now
Dini yangu kwa sasa nina imani nayo na ninaipenda sana nawashauri wanaondelea kusali kutokata tamaa ya miracle ambayo wanaisubilia kwa wanayoyaamini I hope every one will get what he&she want not Need.
I have no enemy for now all people are my friends my new religion is
Nawapenda sana na ni maamuzi binafisi wala sitaki kumlazimisha mtu kunifuata lakini naamini kwa sasa hii ndio dini ya kweli kwangu.
Happy new year.