JUNK MASTER
Member
- Aug 14, 2012
- 84
- 18
Elimu inatakiwa kukupatia ujuzi na maarifa unayohiitaji uyatumie kupambana na mazingira na kusaidia jamii ! Habari ya kushidana GPA , Chuo kipi Bora , Mara Flani kilaza n.k havina maana kwenye elimu ! Matokeo ya kwenye karatasi si justification ya uwezo wako kieleimu ! TUNAHITAJI TUONE MAARIFA YAKO ULIYOPATA KUPITIA ELIMU YAKIISAIDIA JAMII .