Hii ndio Dar ya mwaka 1887

Ndo maana wanalalamikia wakuja, na hatutoki ng'o.
 
Yani ningechukua masaki na mikocheni nzima kudaadeki. Ukoo wa Nyamgluu ungekua na hela balaa!
 
Na huo mtaa hapo ni Samora Avenue.
 
Yani ningechukua masaki na mikocheni nzima kudaadeki. Ukoo wa Nyamgluu ungekua na hela balaa!

Nyamgluu, unafkiri ungeweza kupasogelea maeneo hayo? kulikuwa ni pori la simba mkuu..yaani hapo kinondoni tu ndo ilikuwa ni center ya tembo balaa..
 
du!! enzi hizo kabla ya dengue haijaanza kufanya mambo, na hii ni kabla ya dada poa kujinadi buguruni
 
Hadi sasa population yetu bado ndogo sana ukicompare na eneo la nchi nzima.
 
vijiwe vya kahawa vilikuwa maeneo ya wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…