TandaleOne ndugu Nnauye Jr pale mzumbe amesoma mara moja au mbili? Ninavyofahamu mimi na niko shule unapoma Master Dessertation yako inatakiwa ufanye kwenye "elective modules" ulizochagua mfano kama alichagua say "Human Resources" angefanya kwenye hiyo eneo au kama ni "Marketing" angefanya kwenye hilo eneo. Labda kama elective yake ilikuwa ni "Political science" kitu ambacho sina uhakika kama inalandana na "Business Administration"Soma tena hiyo post usikurupuke kukosoa!
oie!
mnyika o'level kapata A tisa, A'level kapata division 11, mbona nape anakwepa kuweka credit zake?
Umeandika vitabu vingapi vinavyoheshimika,au ndo walewale wenye vyeti lakin hawana efficiency ya kudeliverHa ha ahaaaaaaa unatafuta aibu wewe, kwa taarifa yako nina first class with honor.....na sijasoma BBA ya jioni na wala siajaunga unga. weka ya kwako ya kupewa zawadi ya c...hu....p
Atakuwa alisomea ualimu wa shule ya msingi, afu akaunga unga setifiketi mara akaangukia India kusoma digrii
Ujue sasa hivi ukiwa na setifikate 3 ni sawa na digrii moja, kimjinimjini lakini
Afu utachukuaje kombi ya somo ulilopata F, maana matokeo yanasema B/Math alipata F
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.
Matokeo ya Nape Nnauye ya Ordinary level secondary education ni Division TWO..,kwa anayetaka kujiridhisha anaweza ku-google mwenyewe NECTA matokeo ya Nsumba Secondary 1997. na hata kwa matokeo mengine pia ambayo Ni ya ndani ya Nchi na kuhusu matokeo ya chuo cha bangalore nayo yapo TCU.,ni jambo la kuuliza na kujibiwa.
Kiasi chake, lakini somo la diplomasia ni mweupe sana. Bora singesoma kabisa!safi nape kumbe ni msomi mzuri tu.
Kuna kipindi unafika unawashangaa watu hapa Jamvini habari wanazotaka ni kusifia CHADEMA tu ukikosoa utapachikwa majina ya ajabu ajabu.Mleta mada kaomba CV za wabunge wa CHADEMA kama unajua unatuambia kama hujui unakaa kimya.
Mkuu wangu CV ya Godbless Lema ni ya hovyo kuliko nilivyofikiri mwanzo.Jamaa alishindwa kufaulu mtihani wa form II kuingia form III.Ana cheti cha lugha ya kiingereza miezi 3 KIMAHAMA mkabala na Golden Rose.Mkuu mambo mengine labda ajiendeleze baada ya kuwa mheshimiwa kazi hii namwachia kamanda PakaJimmy anaweza kumshauri.
MMh, Butimba TTC ilikuwa na high school? Hakikuwa chuo cha ualimu kile??
Anyway, hata uwe na Phd kama hamnazo za maisha hazimo tu.
Labda anamaanisha ile ya NGUMBALU nkuu....Butimba Alevel?
Hii nchi imekaa kama kuti kavu...badala ya kujitahidi kuonyesha tunafanya nini kupeleka gurudumu la maendeleo mbele, tumekazana kuandaa Cv kwa wapiga kura tukijinadi kama ni wasomi....wasomi wenye vyeti ila hatujaelimika.