dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Inawezekana sawa na kweli unataka mabadiliko...hapo nakuunga mkono...mabadiliko ni muhimu saana maishani kwetu,...je umefikiria pia pa kupatia mabadiliko????? unadhani mtu unayemuwaza akilini mwako kweli ataleta mabadiliko?? tutafakari na tuache kufwata mikumbo!
Kuchagua chama kimoja miaka yote then utegemee matokeo tofauti ni UPUMBAVU tunaposema CCM tumewachoka cz mmeongoza hii NCHI kwa muda mrefu tunawashukuru wacha tufanye kitu kingine nao wakizingua tunaweka Pembeni lkn kuwaambia watu waendelee kuchagua CCM hadi sasa nikuwadharau watu kwamba hawana AKILI yakujua jema na Baya