Hii ndio CCM

Hii ndio CCM

Sioni Ubaya wa kulipa kodi endapo ntakua na uhakika wa kodi kufika pahala husika na kufanya kile haswaa kilichokusudiwa.
Tumeona faida ya kodi ya kusambaza umeme vijijini.
Wajitahidi na hii ifanye kazi kusudiwa tu.
 
mimi familia yangu majirani na mtaa kura zetu kwa ngoyai
kodi tutalip hata ikiwa nusur mshahara alimrad i nywele nyeupe za nyeree zinarud ikulu

Asante sana mkuu kwa uwamuzi muruwaaa
 
Maajabu.....!!!!!!!!!!

kwahiyo huyo lowasa ataendesha nchi bila kodi........kweli shule muhimu.


HAPA KAZI TU.............MAIGIZO PELEKA UKAWA.

Unaonyesha ni jinsi gani umeshavurugwa
 
Kweli ukiwa nginja nginja akili unashikiwa,hivi ninyi mnadhani au kwa uelewa wenu kuna mtu anae pinga kodi?mimi si pingi kodi nachopinga angozeko hilo la hiyo 1.5% ita muathili mwananchi wa kawaida.HFO IMEWEKWA VAT unadhani Tanesco umeme watauzaje hali yakuwa wao wananunua mafuta hayo,mwananchi analazimika apandishiwe gharama,Railway levy kwenye mafuta inabidi mafuta yapande bei,kwa mwendo huo unadhani nani anaathilika?kwani hakuna sehemu nyengine ambayo tunaweza ipatia hiyo kodi?madini yanajiendea tu je kodi ingewekwa sawa sawa hapo si ingepunguza maumivu kwa mwananchi.zinduka mtanzania hawana wema hao,jiunge na WAPUMBAVU NA MALOFA katika harakati za kumuondoa mkoloni mweusi ifikapo 25/10/2015.
RAIS:LOWASA.
UBUNGE:MTATIRO SEGEREA
WABUNGE:UKAWA KUPITIA VYAMA VYA CHADEMA,CUF,NCCR,NLD.

Mkuu kwa maccm hata ukikesha unawafundisha hawaelewi kwani ni kama wamerogwa
 
Kwa mawazo hayo ata uletewe nan akuongoze kila baada ya miaka mitano utataka ukombolewe tuu... Sasa ulitaka wasikate kodi tafuta nchi ambayo hawakati kodi uhamie manake hapa tz haitawezekana.

Kodi inalipwa lkn ccm wanakwiba
 
Wewe ndiye utakaye mpatia kura yako huyo makofuri,sisi wana wa Mara woote tumeshaamua kumpigia kura mhe lowasa

Mara ipi labda Masai Mara ya Kenya sio hii ya Mwibagi .Kibara, Nyamatare, Buhare , kura kwa Magufurii
 
Mara ipi labda Masai Mara ya Kenya sio hii ya Mwibagi .Kibara, Nyamatare, Buhare , kura kwa Magufurii

Endelea kujidanganya,sisi tupo na wananchi woote wa mkoa wa mara,tumedhamilia kumchagua mhe lowasa na timu yake yoote ya ukawa
 
Endelea kujidanganya,sisi tupo na wananchi woote wa mkoa wa mara,tumedhamilia kumchagua mhe lowasa na timu yake yoote ya ukawa

Maiwasuuuuuuu teh teh teh haaaa uuuuuuiiiiiii Mwanawasu Magufuri Wesuu
 
Nikiwa na akili timamu sifurahii kulipa kodi isiyo na manufaa kwa wananchi badala yake kunufaisha wachache.
Mabadiliko hayaepukiki kuondoa njia za wizi.
U K A W A JUU
 
Enyi vibaka na wakwepakodi wa chadema...Corruption mwisho mwaka huu...mnadhani hizo ruzuku zinatokana na nini?
 
Umeongea vizuri tatizo hapo kwenyejina LOWASSA Huyu hapana mkuu hapo no, nibora kuchagua ng'ombe kuliko huyu mtu
 
Kwa mawazo hayo ata uletewe nan akuongoze kila baada ya miaka mitano utataka ukombolewe tuu... Sasa ulitaka wasikate kodi tafuta nchi ambayo hawakati kodi uhamie manake hapa tz haitawezekana.

Mkuu hapo nahisi uelewi anachomaanisha huyu mwenzetu. Kodi ni sawa, ila lazima itazamwe na uwezo wa jamii kuweza kilipa.

Kingine kodi hizi tunazolipa zianaendaga wapi kama Bw. Magufur anazunguka nchi nzima akihubir ukosefu wa dawa na huduma nyingine kuwa mbovu. Msiwe wapofu kwa kutetea ujinga. Kwanini madin hayaongezwi kodi? Au kwakuwa walioshika walitoa suti kwa jamaa?
 
Back
Top Bottom