Hii ndio CCM

Hii ndio CCM

Kuntah Kinte

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
133
Reaction score
49
Ndugu Wana jamvi,wakati tukiendelea kuuguza jeraha la upumbavu,leo nimethibitisha kweli ilikuwa haki yetu kuitwa wapumbavu maana madhara yanayo kuja yana tuhusu sote.sasa sisi tunao taka kujikomboa tunaonekana wajinga lakini kuanzia tarehe 01/09/2015 WATATUELEWA kwanini tulikuwa tunalilia ukombozi.

TANZANIA REVENUE AUTHORITY wame Introduced kodi mpya inayo julikana kama RAILWAY LEVY,hii kodi inatakiwa ilipwe pindi tu mzigo/meli inapoingia KOJ.Kodi hiyo inakatwa 1.5% ya mzigo na mwisho wa siku mwananchi ndio anae teseka tujiandae kwa bei mpya ya mafuta.

Swali linakuja kwenu wa ndugu hivi mnadhani hayo ndiyo maisha bora kila mtanzania? Je kwanini tusitake ukombozi mpya wa kuepukana na madhira haya mnayo tutesea?

YOTE KWA YOTE NGINJA NGINJA HADI BAHARINI TUNAZAMA WOTE WANA CCM NA WAPUMBAVU.

25/10/215,ASUBUHI NA MAPEMA TWENDENI TUKAFANYE MAAMUZI MAGUMU.

URAIS:EDWARD NGOYAI LOWASA
UBUNGE SEGEREA:JULIUS MTATIRO,
WABUNGE MIKOANI:WANAO WAKILISHA UKAWA KUPITIA,CHADEMA,CUF,NCCR MAGEUZI,NLD.

 
Inawezekana sawa na kweli unataka mabadiliko...hapo nakuunga mkono...mabadiliko ni muhimu saana maishani kwetu,...je umefikiria pia pa kupatia mabadiliko????? unadhani mtu unayemuwaza akilini mwako kweli ataleta mabadiliko?? tutafakari na tuache kufwata mikumbo!
 
Waulizeni ukawa hiyo pesa waliopokea kutoka kwa Kagame watairudishaje?

.
kwa Kagame!!
Si ni ccm walimtuma kule Lipumba kwa niaba yao?
mimi na nyumba yangu kura ni kwa Lowasa na ukawa tuu full stop!
 
.
kwa Kagame!!
Si ni ccm walimtuma kule Lipumba kwa niaba yao?
mimi na nyumba yangu kura ni kwa Lowasa na ukawa tuu full stop!

Una nyumba wewe kobe! Sasa kwa tarifa tu data tunazo tatizo unacheza ngoma husiyoijua.
 
Kweli ukiwa nginja nginja akili unashikiwa,hivi ninyi mnadhani au kwa uelewa wenu kuna mtu anae pinga kodi?mimi si pingi kodi nachopinga angozeko hilo la hiyo 1.5% ita muathili mwananchi wa kawaida.HFO IMEWEKWA VAT unadhani Tanesco umeme watauzaje hali yakuwa wao wananunua mafuta hayo,mwananchi analazimika apandishiwe gharama,Railway levy kwenye mafuta inabidi mafuta yapande bei,kwa mwendo huo unadhani nani anaathilika?kwani hakuna sehemu nyengine ambayo tunaweza ipatia hiyo kodi?madini yanajiendea tu je kodi ingewekwa sawa sawa hapo si ingepunguza maumivu kwa mwananchi.zinduka mtanzania hawana wema hao,jiunge na WAPUMBAVU NA MALOFA katika harakati za kumuondoa mkoloni mweusi ifikapo 25/10/2015.
RAIS:LOWASA.
UBUNGE:MTATIRO SEGEREA
WABUNGE:UKAWA KUPITIA VYAMA VYA CHADEMA,CUF,NCCR,NLD.
 
Kwa mawazo hayo ata uletewe nan akuongoze kila baada ya miaka mitano utataka ukombolewe tuu... Sasa ulitaka wasikate kodi tafuta nchi ambayo hawakati kodi uhamie manake hapa tz haitawezekana.
 
hawa hapa wanatujadili
11951806_394417040767546_6995608963688132290_n.jpg
 
Maajabu.....!!!!!!!!!!

kwahiyo huyo lowasa ataendesha nchi bila kodi........kweli shule muhimu.


HAPA KAZI TU.............MAIGIZO PELEKA UKAWA.
 
mimi familia yangu majirani na mtaa kura zetu kwa ngoyai
kodi tutalip hata ikiwa nusur mshahara alimrad i nywele nyeupe za nyeree zinarud ikulu
 
Back
Top Bottom