Hii ndio Bugati veryon 16

Hii ndio Bugati veryon 16

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
4,999
Buggati Veryon 16.
Inauzwa $1,3m za kibongo ni 4,140,000,000 B4 NA M140.

Usiyoyajua

Ukiwa katika speed or mshale unasoma 254mp tairi zitaisha na kuungua ndani ya dk15 na mafuta yataisha fulltank to empty in 12min dk12
Fuel tank yake ni lt 104 zinaisha dk12 ukiwa speed kali ya mwisho 254mp na tairi zote byebye.

Ina ENGINE mbili za v8 zikiwa zimewekwa pamoja horsepower 1001 turbocharges 4
So ni v16

Ukiwa speed 254 upepo unaokupiga OR unaoupata ni lt47,000 ambayo ni sawa na hewa anayovuta binadamu tena mwanaume kwa siku4

Buggati imegawanywa mara tatu uwezi amini na huu ndio ukweli imeunganishwa kwa Bolt 14 tu gali zima bolt hizo aina ya titanium ambazo zinatumika pia katika kuunda ndege.

Inachkua masaa 15 kutengeneza rejeta 1 ya buggati na kila buggati ina rejeta 12

Gari kama gari tayari zimeshatengenezwa na kuuzwa 420 ila Veryon zipo 300 na ya mwisho kuuzwa ilikua september 2011 na kila buggati iko tofauti azifanani kabisa kila buggat ni tofauti na nyingine

Veryon inatumia matairi ya Michelin pax
Aitumi tairi aina nyingine zaidi ni inches 14.5 wide kama unahitaji kubadilisha na kufitisha ni lazma kuipeleka gari ufaransa na cost yake ni $70,000 tsh m124,000,000 za kibongo Kubadili tairi tu na ndio sehem peke ya Kubadili tairi no other option.

Inatumia pump ya mafuta ambayo inaskuma mafuta mara8 tofauti na gari ya kawaida

Buggati supersport inauzwa $2,429,900
Ukiamua kununua rangerover sports utapata 10 na kubaki na $429,000 za nyumba na (chicken wings) wa kula na wakonabar.

Kama ulikua ujui 98% ya wamiliki wa buggati awajawai fkisha 254mph wanaiona tu kwenye dashboard coz in 14min itakucost $70,000=124,000,000 za tairi tu na maintenance ya buggati kwa mwaka ni BBA $300,000=540,000,000 za kibongo
Zinajaribiwa speed kubwa na tvshows kama topgear nk wamiliki uwa wanaendesha kidogo tu wanapaki coz ni expensive ata kuiendesha tu sio kununua tu.

East africa tu kuna zaidi ya rangerover 1,000 na dunia nzima kuna zaidi ya private jet 1,000 ila wamiliki wa bugatii mpaka sasa awajafika 500 dunia Nzima.
 
Attachments

  • 1422474006789.jpg
    1422474006789.jpg
    42.1 KB · Views: 1,079
Duh mimi huwa napenda speedy cars na injini kubwa ila bugati siwezi nunua hata kama ningekuwa na hizo hela maana ingeniua au kunifilisi.
Ni gari nzuri sana
Tena hizo bei kabla ya customization
 
Anayemiliki hiyo ndo mwanaume sio ooh v8,range rover na vyuma chakavu vingine vya jf
 
$1.3mil =4,140,000,000 kwa rate of exchange ipi Mkuu? Unamaanisha 1us=3184 tz shillings
 
Duh mimi huwa napenda speedy cars na injini kubwa ila bugati siwezi nunua hata kama ningekuwa na hizo hela maana ingeniua au kunifilisi.
Ni gari nzuri sana
Tena hizo bei kabla ya customization

Mkuu naona unatoa sababu na kujijibu mwenyewe! Hapo kila Mbuzi atakula kutokana na urefu wa Kamba yake yaani kwa kifupi ungekua na hela ungenunua. Kina Eto'o wanaPush ni kutokana kuwa na hela ya hiyo gari. Tupambane na gari zetu za waJapan hah hah hah spare ukienda Tabata Dampo au Ilala unaipata. Tunalalamika gari zenye cc2000 tu hapo m/ume anaPush yenye Mashine za v8 ziwe mbili
 
$1.3mil =4,140,000,000 kwa rate of exchange ipi Mkuu? Unamaanisha 1us=3184 tz shillings

Hiyo hesabu hata mimi imenichanganya. Siku hizi dola moja ya kimarekani imefika tsh 3184?

Lakini nimeangalia uandishi nikagundua ni vijana wa divishen 5.
 
Umesahau kusema hizo bolt zinazounganisha hyo buggati zinauzwa 500$ kila moja. Kama zipo 14 sawa na 7000$.

Hizo gari hazifai kwenye barabara zilizoumuka kama za bongo. Unaweza kujikuta gari imekwama au imeshindwa kupita kwenye tuta.
 
$1.3mil =4,140,000,000 kwa rate of exchange ipi Mkuu? Unamaanisha 1us=3184 tz shillings

Mi mwenyewe nimepiga hesabu,nimepata jibu kama lako mkuu,kwa kifupi kaliongezea thamani mara 2 ya thamani yake halisi,sasa cjui alikuwa na lengo gani mtoa mada,tufikie wakati tusipotoshane,tupunguze mahaba
 
Mbona diamond alikua anaendesha speed 240 kwenye video yake ya my # one
 
Buggati Veryon 16.
Inauzwa $1,3m za kibongo ni 4,140,000,000 B4 NA M140.

Usiyoyajua

Ukiwa katika speed or mshale unasoma 254mp tairi zitaisha na kuungua ndani ya dk15 na mafuta yataisha fulltank to empty in 12min dk12
Fuel tank yake ni lt 104 zinaisha dk12 ukiwa speed kali ya mwisho 254mp na tairi zote byebye.

Ina ENGINE mbili za v8 zikiwa zimewekwa pamoja horsepower 1001 turbocharges 4
So ni v16

Ukiwa speed 254 upepo unaokupiga OR unaoupata ni lt47,000 ambayo ni sawa na hewa anayovuta binadamu tena mwanaume kwa siku4

Buggati imegawanywa mara tatu uwezi amini na huu ndio ukweli imeunganishwa kwa Bolt 14 tu gali zima bolt hizo aina ya titanium ambazo zinatumika pia katika kuunda ndege.

Inachkua masaa 15 kutengeneza rejeta 1 ya buggati na kila buggati ina rejeta 12

Gari kama gari tayari zimeshatengenezwa na kuuzwa 420 ila Veryon zipo 300 na ya mwisho kuuzwa ilikua september 2011 na kila buggati iko tofauti azifanani kabisa kila buggat ni tofauti na nyingine

Veryon inatumia matairi ya Michelin pax
Aitumi tairi aina nyingine zaidi ni inches 14.5 wide kama unahitaji kubadilisha na kufitisha ni lazma kuipeleka gari ufaransa na cost yake ni $70,000 tsh m124,000,000 za kibongo Kubadili tairi tu na ndio sehem peke ya Kubadili tairi no other option.

Inatumia pump ya mafuta ambayo inaskuma mafuta mara8 tofauti na gari ya kawaida

Buggati supersport inauzwa $2,429,900
Ukiamua kununua rangerover sports utapata 10 na kubaki na $429,000 za nyumba na (chicken wings) wa kula na wakonabar.

Kama ulikua ujui 98% ya wamiliki wa buggati awajawai fkisha 254mph wanaiona tu kwenye dashboard coz in 14min itakucost $70,000=124,000,000 za tairi tu na maintenance ya buggati kwa mwaka ni BBA $300,000=540,000,000 za kibongo
Zinajaribiwa speed kubwa na tvshows kama topgear nk wamiliki uwa wanaendesha kidogo tu wanapaki coz ni expensive ata kuiendesha tu sio kununua tu.

East africa tu kuna zaidi ya rangerover 1,000 na dunia nzima kuna zaidi ya private jet 1,000 ila wamiliki wa bugatii mpaka sasa awajafika 500 dunia Nzima.

duh!! yaani gari moja tu ni almost mgao mkubwa uliotolewa kwa Vigogo wakubwa wa Escrow kina Tibaijuka na Chenge, halafu unakuta mtu ana za bei hizo kama 6 hivi mmh!!!
 
Sasa mkuu wewe watukana wakati hauna hata kati ya hivyo vyuma chakavu. Je tukuite mwanamke?

Hana jinsia huyo, ni pepo. Miye na ki rav 4 changu old model nadunda tu mjini hapa, kibongo bongo natesa.
 
Back
Top Bottom