Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,414
- 289,601
hizi wamepiga kijinga sana , lazima wazirudishe ! CC - MWAKYEMBE .Watu washapiga hela hapo!!
Picha mpaka ulale ubavu ndiyo uisome....
Mimi naona kama wameandika "CHOO CHA TRENI KAMATA". Sijui ni simu yangu ya mchina ndo imeshindwa kuniletea picha nzuri au ndo mwonekano wenyewe wa bango?