majambazi huwa hawavai viatu....
lakini majambazi wa hollywood hawakua wanavua viatu..
Akimaliza kufanya uhalifu ataomba msamaha na kusali kidogo ndiyo aondoke,lol!
lolo hii sikuionajambazi mstarabu sana' kavua viatu ili asichafue nyumba ya watu
Undo wanaanza jamani tuwapeni muda turn name mambo yatakaa vzr cku moja maana hata Hollywood hawakuanza hivi walivyo leo