Hii ndio bili ya Tedy

Ulilipa zote? Sioni mahali kaandika jumla au kuna karatasi nyingine?
 
Halafu mnajiuliza, vipi Bakhresa alianza kwa kuuza viatu vya kushona sasa kawa bilionea.

Majibu mnayo lakini mna ujinga wa kuzaliwa, hamyaoni.
 
Ulilipa zote? Sioni mahali kaandika jumla au kuna karatasi nyingine?

Tumeikataa bili hatukunywa hivyo vinywaji! sisi tumekunywa Redds, Safari, nk
Hatukunywa laga, red.ss, savana, selenge maiti,dragoni nk kama bili inavyosema
Tulichokubali ni maji na soda tuu, ikibidi hata polisi tutaenda
 
Hao elimu zao zipo katikati ya miili yao, usishangae siku moja kumuona amehudhulia hafla ya MaDr. na MaProf. as Mrs. Professor Somebody.
 
Wenye hela wanabwata hivyo unavyobwata? 24/7 humo humu. Au zako chuma ulete?

Hahahahahah, kama sijabwata unataka ubwate wewe?

Ulisikia nani wa Kariakoo ambae si bilionea kwa sasa? Labda huyo alikuwa ni mpangaji tu Kariakoo.
 
Nafikiri huyu ni bar maid kajiandikia summary yake ili baadaye akusanye malipo apeleke counter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…