Hii Ndio Bidhaa Mpya ya Azam

Hii Ndio Bidhaa Mpya ya Azam

Status
Not open for further replies.

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
Shikamoo Bakhressa
 
Attachments

  • 1435324405426.jpg
    1435324405426.jpg
    54.3 KB · Views: 1,025
Safety boot au? Hyo kazi ndogo sana hata wewe unaweza fanya,unawapa wachina wanatengeneza wanakuwekea na logo.
Jamaa anafukuzia level za Virgin Group ya Richard Branson.
 
. Kha! Iwe Bojo!! Eti kazi ndogo sana hata yeye anaweza fanya?? Hapo pa kufukuzia levels za kina Richard Branson nakubaliana na wewe pasi na shaka
 
Huyu Mzee Nae Sahivi Anaganga Njaa Tu Na Kuzidi Kuwatia Umasikini Watanzania.Biashara Zake Nyingi Ni Za Kijinga Jinga Tu Na Hazina Tija Yeyote Kwa Taifa.Badala Ya Kufungua Kiwanda Cha Kutengeneza Kumpyuta Au Injini Za Meli.Anang'ang'ana Na Kuuza Vijuice Chapati Na Maandazi.Matokeo Yake Ni Kukabana Koo Na Mamazetu Na Kuwaongezea Umaskini.Hakuna Tajiri Bongo Wote Ni Waganga Njaa Tu Na Pesa Zao Za Chini Ya Bahari.
 
Mumbwa wa mungu Dogofgod

Akili zako finyu utambue huyu anaviwanda na wafanyakazi wake wanahitaji mavazi salama
Kamaa yy anapika chapati muite ndg uako afungue kiwanda cha kutengeneza ndege

Weee umeshindwa kujenga choo unatumiaa vyoo vya majirani
 
wengine mnafikiria kwa kutumia makalio. poleni sana
 
Mumbwa wa mungu Dogofgod

Akili zako finyu utambue huyu anaviwanda na wafanyakazi wake wanahitaji mavazi salama
Kamaa yy anapika chapati muite ndg uako afungue kiwanda cha kutengeneza ndege

Weee umeshindwa kujenga choo unatumiaa vyoo vya majirani

Acha Kukurupuka Ka Ushuzi Wa Shibe Ya Futari.Soma Hoja Yangu Vizuri.Mm Nimezungumzia Bidhaa Zake Kwa Ujumla Wake Cnastick Kwenye Biashara Moja.Nyingi Ni Za Kipumbavu Tu Za Uchuuzi.
Yani Huyu Mzee Ni Mpumbavu Kama Wewe.Na Nachukia Sana Watu Wanaomuita Tajiri.Mimi Sijaona Tajiri Anefanya Kazi Ya Kuuza Maandazi.
Huyu Ni Mnyonyaji Na Muuaji.Kwa Hayo Makemiko Yake Ayayotuchanganyia Kwenye Mijuice Yk.

Ni Kweli Mimi Natumia Choo Cha Majirani.Ila Jirani Yangu Wa Kwanza Ni Wewe.Kwahiyo Unaponyea Wewe Na Mimi Ndo Nnapokojolea Apo Apo!
 
Hehehehe labda huyo dogofgod kuna mambo kafanya makubwa sana kuliko bakhresa mkuu
 
Acha Kukurupuka Ka Ushuzi Wa Shibe Ya Futari.Soma Hoja Yangu Vizuri.Mm Nimezungumzia Bidhaa Zake Kwa Ujumla Wake Cnastick Kwenye Biashara Moja.Nyingi Ni Za Kipumbavu Tu Za Uchuuzi.
Yani Huyu Mzee Ni Mpumbavu Kama Wewe.Na Nachukia Sana Watu Wanaomuita Tajiri.Mimi Sijaona Tajiri Anefanya Kazi Ya Kuuza Maandazi.
Huyu Ni Mnyonyaji Na Muuaji.Kwa Hayo Makemiko Yake Ayayotuchanganyia Kwenye Mijuice Yk.

Ni Kweli Mimi Natumia Choo Cha Majirani.Ila Jirani Yangu Wa Kwanza Ni Wewe.Kwahiyo Unaponyea Wewe Na Mimi Ndo Nnapokojolea Apo Apo!

Hahahaha ww kweli ..... jeuri hahahaha
Yaani unatunishana misuli na baressa
 
Huyu Mzee Nae Sahivi Anaganga Njaa Tu Na Kuzidi Kuwatia Umasikini Watanzania.Biashara Zake Nyingi Ni Za Kijinga Jinga Tu Na Hazina Tija Yeyote Kwa Taifa.Badala Ya Kufungua Kiwanda Cha Kutengeneza Kumpyuta Au Injini Za Meli.Anang'ang'ana Na Kuuza Vijuice Chapati Na Maandazi.Matokeo Yake Ni Kukabana Koo Na Mamazetu Na Kuwaongezea Umaskini.Hakuna Tajiri Bongo Wote Ni Waganga Njaa Tu Na Pesa Zao Za Chini Ya Bahari.

Msiwe wapuuz, hayo ni mabuti ya kazi hata ww ukiwa na kiwanda wachina watakuwekea logo yako. Safety boot wala haziuzwi kokote zaidi ya kugawiwa kwa wafanyakazi, shame on you
 
Sasa hapo ndo umeongea nn?Zilongwa mbali,zitendwa mbali.Utasemaje bidhaa zake nyingi za kipuuz wakati ni basic coz no single day ipite pasina kumchangia.Ufaham ya kwamba jamaa hana bidhaa moja.Heti afungue kiwanda cha injin za meli,sasa atamuuzia nani?Mara yako ya mwisho kununua injini ya meli ni lini?Je laptop?Strategical person anafanya business kulingana na needs ya market sio kukurupuka tu kwa sababu ana hela.Next time utasema afungue kiwanda cha kutengeneza magari kisa ana hela,oooopss!!!
 
Hahahaha ww kweli ..... jeuri hahahaha
Yaani unatunishana misuli na baressa

Tatizo La Huyu Mzee Hajamaliza Hata Darasa La Saba.Ndomana Ubongo Wake Haumtumi Kuivesti Katika Biashara Zenye Tija Zaidi Kwa Taifa.Nadhani Sasa Anafikiria Biashara Ya Kuuza Kalanga.

Kama Yeye Ni Tajiri Atujengee Hata University Watu Wapate Elimu.Kuliko Kutukologea Makemiko Na Kutujazia Kwenye Chupa.Tatizo Lako La Nguvu Za Kiume Ni Kazi Ya Huyu Kilaza Aliekimbia Umande.
 
Hahahahaha
 
Sasa hapo ndo umeongea nn?Zilongwa mbali,zitendwa mbali.Utasemaje bidhaa zake nyingi za kipuuz wakati ni basic coz no single day ipite pasina kumchangia.Ufaham ya kwamba jamaa hana bidhaa moja.Heti afungue kiwanda cha injin za meli,sasa atamuuzia nani?Mara yako ya mwisho kununua injini ya meli ni lini?Je laptop?Strategical person anafanya business kulingana na needs ya market sio kukurupuka tu kwa sababu ana hela.Next time utasema afungue kiwanda cha kutengeneza magari kisa ana hela,oooopss!!!

Unaonekana Na Wewe Ni Kilaza Km Huyo Kilaza Mwenzio.Uliposema Akifungua Kiwanda Cha Kutengeneza Injini Za Meli Hawezi Kupata Wa Kumuuzi.Ndo Nikakuona Kumbe Huna Akili.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom