kg umemaanisha nini?Mchele upo wakutosha kg
Utaweza bei yake kwa sasa kilo 2200 kwenda mbeleMchele upo wakutosha kg
Kigoma wanalima japo si kwa kiwango cha lamikg umemaanisha nini?
Kigoma, Kagera au kilo gramu?
maana Kigoma hawalimi mchere, Kagera pia hawalimi huo, ni Kg gani hiyo?
Tutakula ndizi mihogo, hamna namnaUtaweza bei yake kwa sasa kilo 2200 kwenda mbele
Kila wiki lazima Roli Tani 15 lipeleke mzigo wa mchere huko, halafu unaleta habari za ki Abunuasi hapa!Kigoma wanalima japo si kwa kiwango cha lami
ulizia kalya, karema sibwesa na huko kirando mashamba ya mpunga yapo kwa kiwango ganiKila wiki lazima Roli Tani 15 lipeleke mzigo wa mchere huko, halafu unaleta habari za ki Abunuasi hapa!
Shwain!
Kwa awamu hii! Kwamba selikali ndio inalima mahindi ama,Kwa awamu hii ugali utakuwa ni adimu sana mana watu tutahamia wali
hata mchele ni bei hiyohiyo so bora tuanze kupiga mpunga kitenesiHabari wakuu, hali ya maisha imezidi kuwa mbaya kiuchumia kwa baadhi ya raia wengi wa nchi hii. Pesa ikiwa haipatikani na ikipatikana hamna cha maana unachoweza kuifanyia...
Nimekuwa nasikia kupanda kwa unga tu, jana nimepita mashine kununua unga kilo 25 kwa bei ya jumla na kukuta unga umepanda bei kwa asilimia kubwa mwanzo unga kilo 25 tulikuwa tunanunua kwa sh.32.000 ila kwa sasa umefika sh 37000...
Bei ya reja reja kwa eneo nililopo kilo moja ni 1700.. Itakuwa vyema uzi huu ukatumika kupeana bei ya chakula hiki muhimu kwa watanzania wengi.
hii bei ya super market mchele 1800 uko poa tuUtaweza bei yake kwa sasa kilo 2200 kwenda mbele