Kwani kamtaja mtu jina?Kipanya asijisahau na asijiamini sana hasa wakati huu tuliopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kamtaja mtu jina?Kipanya asijisahau na asijiamini sana hasa wakati huu tuliopo.
Kweli, huwezi kuangalia hizi bidhaa zilizopo sokoni sasa ukasema sera imefeli, miaka 10 at leastNi changamoto ambayo inakabilika...
Hao wachina, waturuki, wahindi n.k wanategemea soko tu la Tanzania lakini viwanda vyao vipo huko kwao...
Serikali kama dhamira yake ni wazawa kujenga viwanda basi bila shaka miaka 10 ijayo hali hii itapinduka na hayo maduka yatajaa mali za Tanzania...
Mmmh, hapa ni kuunga mkono tu, ukileta ukinzani utahojiwa na vyombo vya $Soma hoja, unga mkono au leta ukinzani kwa hoja mbadala ...
Ndoto
In God we trust
Anafikiri atatumia amri kwa wateja
In God we trust
Kwa serikali hii?Ni changamoto ambayo inakabilika...
Hao wachina, waturuki, wahindi n.k wanategemea soko tu la Tanzania lakini viwanda vyao vipo huko kwao...
Serikali kama dhamira yake ni wazawa kujenga viwanda basi bila shaka miaka 10 ijayo hali hii itapinduka na hayo maduka yatajaa mali za Tanzania...
Baby jiangalie,usije ukakamatwa na "amri kutoka juu"Soon tutakuwa na kila kitu from Chattle
Kwenda kula bure na kulala bure?Baby jiangalie,usije ukakamatwa na "amri kutoka juu"
Mwambieni kipanya sisi tunazo tomato na chili sauceMimi sina maneno mengi wadau maana kupitia kibonzo cha Kipanya kwa mwenye uelewa ataelewa![]()
In God we trust
Mwendo kasiMfano unatenga bajeti billion 100harafu unapeleka billion 3unategemea nini
Sent using Jamii Forums mobile app
We Sky, shauri yako!Soon tutakuwa na kila kitu from Chattle

Ndio serikali ijitafakari sasa ni wapi ilipoteleza na kuanguka...Kwa serikali hii?
sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
Ndio my,maana hata JF sijui kama nitaingia kwa jinsi nitakavyokumisi.Kwenda kula bure na kulala bure?