Kuna watu hawapendi kusikia habari kama hizi wao wanataka kila mtu alalamike tu na nchi izidi kwenda mrama ili wazidi kulalamika.Ni changamoto ambayo inakabilika...
Hao wachina, waturuki, wahindi n.k wanategemea soko tu la Tanzania lakini viwanda vyao vipo huko kwao...
Serikali kama dhamira yake ni wazawa kujenga viwanda basi bila shaka miaka 10 ijayo hali hii itapinduka na hayo maduka yatajaa mali za Tanzania...
Una elimu gani Mkuu??Ni changamoto ambayo inakabilika...
Hao wachina, waturuki, wahindi n.k wanategemea soko tu la Tanzania lakini viwanda vyao vipo huko kwao...
Serikali kama dhamira yake ni wazawa kujenga viwanda basi bila shaka miaka 10 ijayo hali hii itapinduka na hayo maduka yatajaa mali za Tanzania...
Sidhani kama huu ni uzi maalumu wa kuweka wazi au kujua kiwango cha elimu baina yetu...Una elimu gani Mkuu??
Unafahamu gharama ya kujenga kiwanda??
Au wewe ni wale wa Cherehani 4??
Unajua ushindani wa soko?? Unafikiri ukishajenga tu kiwanda basi hizo bidhaa unazozalisha zitaingia sokoni na kuziondoa bidhaa za nje??
NdotoNi changamoto ambayo inakabilika...
Hao wachina, waturuki, wahindi n.k wanategemea soko tu la Tanzania lakini viwanda vyao vipo huko kwao...
Serikali kama dhamira yake ni wazawa kujenga viwanda basi bila shaka miaka 10 ijayo hali hii itapinduka na hayo maduka yatajaa mali za Tanzania...
Anafikiri atatumia amri kwa watejaUna elimu gani Mkuu??