Hata mimi nimeisikia hiyo habari kwenye briefing za magazeti,nadhani ni gazeti la Zanzibar leo,na hiyo issue ni Zanzibar sio bara,imeniboa sana nikajiuliza na waalimu wenye VVU nao wanawawekea Lebo,na kwanini wawekee wenye VVU tu,je wenye malaria,TB,Sickle cells.fungus etc kwanini wagonjwa wote wasiwekewe lebo,hii ni gross violation of human rights ,naomba wana harakati msiachie ili suala,kama ni kweli wahusika wapelekwe mahakamani,marufuku peke yake haitoshi