Hii nchi inaliwa left right and centre-agustino lyatonga mrema

Bijou

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,219
335
Mhe MREMA akichangia hotuba ya CAG mwezi April 2012, alisema kwamba nji hii INALIWA LEFT RIGHT AND CENTRE, nimeamini, kwani ni kila kukicha watendaji wanasimamishwa? Ndani ya wiki moja Kama siyo mbili wakurugenzi aw TANESCO NA MAKUMBUSHO OUT!!!!!!! Tafakari
 
Yote haya yanasababishwa na Serikali Dhaifu Ya CCM ambayo imedumu miaka 50 bado wanazungumzia maji na Ujinga
 
Actually ni watatu, Mafuru aw NBC naye out!!!!!
 
bt fikirieni leo hii isingekua huu uwizi huu mji usingekua hivi...sasa hivi tunaweza kuishi kwenye nyumba nzuri ambazo wenye nyumba ni hao mafisadi..sa wasingeiba tungelala wapi? mji umebadilika uko kama new york kwa sababu ya ufisadi so angalau wanaendeleza nchi yetu :rockon:
 
Mhe MREMA akichangia hotuba ya CAG mwezi April 2012, alisema kwamba nji hii INALIWA LEFT RIGHT AND CENTRE, nimeamini, kwani ni kila kukicha watendaji wanasimamishwa? Ndani ya wiki moja Kama siyo mbili wakurugenzi aw TANESCO NA MAKUMBUSHO OUT!!!!!!! Tafakari

Huyu Mrema ni kigeugeu............ kila siku anatoa hotuba za kusifia CCM na Rais wake halafu anakuja na statement kama hizi akifikiri tumesahau. Yaani hajui kuwa ulaji umesababishwa na nan?? Ua kwa vile na yeye alishawahi kuwa beneficiery
 
Watanganyika, tutaacha lini tabia ya kulalamika???? "TAFAKARI, CHUKUA HATUA"
 
na yeye si yupo kwenye orodha ya waliojigawia viwanja, mrema pia sio msafi kivile, ni mpenda ujiko , it is ok kwani kwa kiherehere chake mambo yoteeeeeeeeeeeee anayojua yanakuwa hadharani ,
 
Huyu Mrema ni kigeugeu............ kila siku anatoa hotuba za kusifia CCM na Rais wake halafu anakuja na statement kama hizi akifikiri tumesahau. Yaani hajui kuwa ulaji umesababishwa na nan?? Ua kwa vile na yeye alishawahi kuwa beneficiery
Si hivyo tu. Huyu ni fisadi kwa asili. Ruzuku kiduchu inayotolewa TLP huyu fisadi kageuza pesa yake na mkewe. Kuna nyumba chama kilinunua kuwa makazi ya mwenyekiti, yeye kajimilikisha. Sasa hivi kila anayeonekana threat kwa survival yake kama mwenyekiti, anafukuzwa uanachama. Sichoki kujiuliza kama angepata urais 1995 inchi ingekuwaje.
 
kwa maneno yako hayo unaonekana una chuki binafsi na yeye. je unaushaidi?
 
Watanganyika, tutaacha lini tabia ya kulalamika???? "TAFAKARI, CHUKUA HATUA"

your 100% right, kazi kulalamika kuhusu viongozi mafisadi, lakini hawa hawa wanaolalamika ndio wezi wa umeme, hawalipi kodi na wanalalama tu, hawajioni.
 
Back
Top Bottom