Hii Nchi ina wenyewe.

Thank You so much for your elaboration.

More input please on the killer wave.
Killer wave au monster wave ni wimbi kubwa Sana ambalo urefu wake unakadiriwa kuwa mita 12 mpaka 20.

Hili huwa halina dalili ya kuonyesha litatokea, na hili hutokea baharini hakuna njia ya kulikwepa au kukabiliana nalo.
Endapo itakutana na meli huinyanyua kwa huo urefu na kuitupa upande wa pili hii killer wave husumbua hata meli iwe kubwa kiasi gani.Upelekea kuivunja meli vipande vipande.

Wanasayansi wamefanya tafiti mbalimbali na hawajapata nini chanzo sahihi Cha killer wave. Zaidi ya kutoa uwepo wa upepo mkali au mkondo wenye nguvu ndio zinaweza kupelekea kutokea killer wave.

Killer wave mpaka sasa haina maelezo ya kina hata ajali chache zilizotokea satellite iliporekodi ilionyesha meli ikivutwa juu na wimbi Kisha mabaki ya vipande kuonekana.

Killer wave ni tishio haswa baharini ingawa hutokea Mara chache.
 
Yani mpaka mda kishabadili jina........kimbunga hafifu.
JamiiForums-856659038.jpg


Sent from my HUAWEI KII-L21 using JamiiForums mobile app
 
Tuna tukio muhimu sana pale kwa Mkapa, so Allah ametia baraka ila sio kwa uwezo wetu.
Kwa pamoja tumshukuru aliye Juu.
 
Nakumbuka hata nzige baada ya kuzurura kila kona ya ukanda wa Afrika mashariki walivyotaka kuingia bongo tu wakakutana na kamati ya fitina wakatoka nduki hawana hamu na kambi kama covid19 ilivyotamba duniani kufika hapa tukatambiana
Hope hili litakua somo tosha kwa majanga mengine yajifunze kwamba we are the true Israelites
hatar sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom