Hii Nchi ina wenyewe.

Hii Nchi ina wenyewe.

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,939
Semaaa kimeumanaaa
IMG-20210424-WA0009.jpg
 
Kawaida vimbunga huwa vinapunguza spidi kadri vinavyokaribia nchi kavu! So si Jambo la kushangaa maana hata hiyo spidi yake ndogo ni hatari sana!
 
Mpaka kifike hapa kesho...hakitakua na impact wala spid kubwa.

Wenye Nchi washafanya yao.
 
Nakumbuka hata nzige baada ya kuzurura kila kona ya ukanda wa Afrika mashariki walivyotaka kuingia bongo tu wakakutana na kamati ya fitina wakatoka nduki hawana hamu na kambi kama covid19 ilivyotamba duniani kufika hapa tukatambiana
Hope hili litakua somo tosha kwa majanga mengine yajifunze kwamba we are the true Israelites
 
Nzige walikula kibano
 
Hopefully hakuna cruise ships wala yatchs zenye abiria baharini.
Cruise ship zipo hazina tabia ya kusimama kila bandari zina timetable kama liner ship. Taarifa za kimbunga melini hufika kwa njia ya email,Satelite,Telex,Navtex na taarifa za mamlaka za hali ya hewa.

Meli kama cruise ship wakipata habari huwa huchukua tahadhari kubwa kwa kuhama njia(passage) waliyokuwa wakipita baada ya kujua wapi kitovu Cha kimbunga na safari huendelea kama kawaida.

Baharini tishio ni Rogue wave/Killer wave/Monster wave hilo wimbi mpaka sasa halina dalili ya kuwa linatokea na likitokea hakuna meli inayokuwa salama iwe ndogo au kubwa.
 
Seychelles walikua na 130kph
Bongo wakatuambia itakua 60-100kph

Sasa hivi imeshuka mpaka 18kph.

Mpka kesho itakua 5kph
]
IMG-20210424-WA0035.jpg
 
Cruise ship zipo hazina tabia ya kusimama kila bandari zina timetable kama liner ship. Taarifa za kimbunga melini hufika kwa njia ya email,Satelite,Telex,Navtex na taarifa za mamlaka za hali ya hewa.

Meli kama cruise ship wakipata habari huwa huchukua tahadhari kubwa kwa kuhama njia(passage) waliyokuwa wakipita baada ya kujua wapi kitovu Cha kimbunga na safari huendelea kama kawaida.

Baharini tishio ni Rogue wave/Killer wave/Monster wave hilo wimbi mpaka sasa halina dalili ya kuwa linatokea na likitokea hakuna meli inayokuwa salama iwe ndogo au kubwa.
Thank You so much for your elaboration.

More input please on the killer wave.
 
Back
Top Bottom