Hii nayo ni sanaa?

huyu anaishi wapi?

pale mtaani kwangu, kwa mbele kidogo, kwenye kona, kwa juu, karibu na mbuyu, juu ya mto, afu kata kushoto, ndio utaona nyumba anaoishi jirani na duka la Mangi, kabla ya kibanda cha mpemda muuza pweza, nyuma ya msikiti, ndani kidoooogo, kulia, ile bara bara ya vumbi inayoelekea magengeni, sasa hapo kwa chini! Uliza tu, kwa kina naniliu, basi wale kina naniliu watakuonyesha naniliu!
 
ha ha ha ha ha ha asante mkuuu
 

weee nae, unaniangusha! mimi nakuelekeza mchongo wa kwenda kupiga, unaishia ku - like! Umeniangusha sana, sikutegemea kabisa, daah wadada wa siku hizi hamna kabisa uthubutu!
 
Safari_ni_Safari

Kweli kabisa sijui jamaa atakuwa na amani maana sasa kila mtu ashajua anazo.
 
Last edited by a moderator:
weee nae, unaniangusha! mimi nakuelekeza mchongo wa kwenda kupiga, unaishia ku - like! Umeniangusha sana, sikutegemea kabisa, daah wadada wa siku hizi hamna kabisa uthubutu!

nimeshachukua boda boda weye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…