Fafanua. Ubora katika nini. Mimi Vodacom naitumia kwenye M- pesa tu, kwa kuwa wana mtandao mkubwa wa huduma hiyo. Huduma nyingine sijawahi kushawishika kuzitumia, 'too expensive'.
Fafanua. Ubora katika nini. Mimi Vodacom naitumia kwenye M- pesa tu, kwa kuwa wana mtandao mkubwa wa huduma hiyo. Huduma nyingine sijawahi kushawishika kuzitumia, 'too expensive'.
Huduma bora kwa kila idara, ukitumia ww mwnyw utajionea, mm nashindwa kuwa na mtandao mwingine mana Vodacom n Zaid yao mara 💯 na nshawah kuwa na lain za mitandao mingine lkn nikaishia kuzivunja
Huduma bora kwa kila idara, ukitumia ww mwnyw utajionea, mm nashindwa kuwa na mtandao mwingine mana Vodacom n Zaid yao mara [emoji817] na nshawah kuwa na lain za mitandao mingine lkn nikaishia kuzivunja
...Ila kwenye huduma ya Internet hawa jamaa hawafai. Ni Vibaka was Kutupa.
Muda mrefu nyuma nimekuwa nikitumia shs Alfu Mbili ninapata GB 2.5....
Juzi usiku nimetumia hizo hizo Alfu Mbili kununua kifurushi change pendwa nimeshituka sana kukuta sasa wanakwanyua GB moja nzima na Sasa kwa Buku zangu Mbili ninapata GB 1.5 tu....dah!....tens bila taarifa yoyote!![emoji35][emoji35]