Hii nayo kiboko

Hii nayo kiboko

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,932
Huyu mama inaelekea hana utani mpaka akaweka tangazo kama hili kwenye gazeti!!

Wanjiru.jpg
 
Shida yote ya nini hiyo....kama njemba sio mwaminifu huyo mama si asepe tu. Mademu wengine bana...ving'ang'anizi kaa ruba
 
Jamaa inaelekea nanino yake anatembea ameishikilia mkononi, mpaka my wife wake anamtoa gazeti basi hapo si mchezo!.
 
Si bure hii, inawezekana jamaa ni mtalaam sana.

Hadi wife kutoa public notice isn't a joke.
 
Yaani nimecheka mpaka machozi yamenitoka, dah kazi kweli kweli
 
Umri wake kwa kuonekana hauendani na umri wa ndoa yake. Hii ya kichina.
 
Halafu hao nahisi watakua Wakenya hilo jina la Kikuyu wana vimbwanga ndugu zetu hawa.....no offense lakini.
 
ha ha haaa! nice one..wakina Vera mnasemaje hapo kwa watu kama crispin? my wife wake afanye kama hivi? alafi abandike matangazo bar zote za Tegeta. hahahahaaa!!
 
labda anaona bila jamaa hakuna maisha jamani
kama mapenzi yameisha hata ufanyeje hayarudi
 
mmh Makubwa haya! Jamaa inabidi avae miwani na kofia wakati wote...
 
ukute mama wa watu , ameachiwa familia analea peke yake halafu jamaa anatumbua pesa na watu wengine, hamana mapenzi tena hapo ndoa yao ina umri mrefu sana.
 
Wanajamii hamjambo, nimewamiss sana.......
Lakini kitendo hichi ni kama revenge hivi!!!sidhani kama wanaendelea na mahusiano tena, umeshamdharirisha mwanaume kiasi hicho kamwe hatorudi.
 
Back
Top Bottom