Nimekuta missed call, baada ya kupiga hii namba imekuwa busy kwa takribani masaa matatu. Kila nikipiga inatumika, sasahiv haipatikani tena. Nimeangalia kwenye true caller haipo, nimegoogle sijaipata. Kwa ambaye atakuwa anaifahamu hii namba naomba aniambie ni ya wapi?
Namba yenyewe ni 0623 928 249
Asanteni
Sent using
Jamii Forums mobile app