Maguge Maguge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 2,734
- 1,781
Some things Are just out of your control...... kwani Mkulu kasemajeNimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,
Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,
"Hii namba inasomwaje?"
Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.
"Ndo kuisoma namba ee!"
Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?
Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)
Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?
Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?
Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!
Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!
Sheria ichukue mkondo wake
Ila baadae nimewaza, nikaona
Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.
Hiyo calculator yako itakuwa mbovu au wewe umekosea kuandika. $ 20,000,000 × 2200 ni 44,000,000,000 (bilion 44) na siyo bilion 4.4Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,
Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,
"Hii namba inasomwaje?"
Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.
Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?
Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)
Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?
Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?
Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!
Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!
Sheria ichukue mkondo wake
Ila baadae nimewaza, nikaona
Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.
Nina wasiwasi Na elim yako, maana hata fasih hujui?We ndo dungu yani billion 4 ndo haisomeki
Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,
Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,
"Hii namba inasomwaje?"
Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.
Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?
Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)
Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?
Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?
Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!
Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!
Sheria ichukue mkondo wake
Ila baadae nimewaza, nikaona
Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.
Fasihi ndo kenge jamii ipiNina wasiwasi Na elim yako, maana hata fasih hujui?
Jamii ya mahindiFasihi ndo kenge jamii ipi
Kalculeta mkuu!We ndo dungu yani billion 4 ndo haisomeki
Sasa kama tuna madokta fake utashangaa elimu yangu ya "vidudu?"Nina wasiwasi Na elim yako, maana hata fasih hujui?