Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??
Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??
Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.
Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.
Nawasilisha.
Hii hoja haina nyama. Ni mifupa mitupu. You've got to support your argument.
Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??
kweli hii ndo tanzania kila mtu eti ni mchambuzi wa siasa!
nahisi kawasaliti wenzake walio jipa likizo ndio maana anakuja huku anashangaa hajui kinachoendelea dah!! kaz kweli kweli!!Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??
Hii hoja haina nyama. Ni mifupa mitupu. You've got to support your argument.
Ukiona kila raia anajihusisha na siasa then ujue watu wamekata tamaa na maisha!!!!!!!!!!
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.
Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.
Nawasilisha.
Naona "L" na "R" zinakupashida. Kumbe we mdini kidogo?Rebanon, kuna wakristu na waislaam na kwenye katiba yao huko nyuma walipenda kupokezana katika utawala yaani kipindi fulani mkristo anakuwa mtawala na kipindikingine anakuwa muislam. Lakini wakagundua baada ya muda kila wakati muislamu akitawala basi mambo hualibika, waaislamu wenyewe wakaja na pendekezo kuwa basi nchi itawaliwe na mkristo mapaka wao nao watakapoelimika kuweza kutawala. Baada ya kuelimika hivi juzi tuu ndio wamerudisha utaratibu wa zamani. Samahani ndugu zangu waislamu sipendi udini sana kwani nina ndugu waislamu pia ila najua utamaduni huu wa utawala naona kama utawashinda kama hamta kuwa wakali wa watala hasa pale wanapokuwa dini zenu. Tumeshudia ya Mwinyi sasa ya Jk, wakeeni musiwacheekee pale wanapohalibu kwani wanawashusha. Mimi nilikuwa na wasiwasi sana pale Obama alipochaguliwa kuiongoza marekali lakini amenifanya niwe proud african kuwa tunaweza kwa kuchaguliwa mara ya pili lakini asingechaguliwa ningelikuwa wa kwanza kumlaumu pia.
Na enzi za kidumu fikra sahihi za chama cha shika hatamu mbona hutaji? au ile haikuwa Serikali? au kwa kuwa alitawala zaidi ya miaka 24 na watu kukosa hata viatu na nguo za kujisitiri! au umesahau foleni za mikate na unga! umesahau watu walioliwa na Simba kwa kulazimishwa kuhamia vijiji vya ujamaa? umesahau michango ya nguvu na kusimamiwa na Mabalozi wa nyumba kumi ili kusaidia safari za Mzee haambiliki kwa ajili ya hafla zake?
Tulikuwa tunalazimishwa Mashuleni kusimama barabarani kuanzia asubuhi tunamngojea Ndugu haambiliki na akija saa 10 jioni! hapo tena tunaambiwa turudi nyumbani baada ya kumwimbia na kumpigia makofi! umesahau watu waliokufa kwa njaa mwaka 1974 na Haambiliki akaenda kwa Jimmy Carter Rais wa Marekani kumuomba chakula na kupewa unga wa Yanga? umesahau? anaenda kuomba chakula wakati ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora ulikuwepo!
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.
Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.
Nawasilisha.
kama umemaliza tufanye maombi ili mfumo K wetu uimarike.Rebanon, kuna wakristu na waislaam na kwenye katiba yao huko nyuma walipenda kupokezana katika utawala yaani kipindi fulani mkristo anakuwa mtawala na kipindikingine anakuwa muislam. Lakini wakagundua baada ya muda kila wakati muislamu akitawala basi mambo hualibika, waaislamu wenyewe wakaja na pendekezo kuwa basi nchi itawaliwe na mkristo mapaka wao nao watakapoelimika kuweza kutawala. Baada ya kuelimika hivi juzi tuu ndio wamerudisha utaratibu wa zamani. Samahani ndugu zangu waislamu sipendi udini sana kwani nina ndugu waislamu pia ila najua utamaduni huu wa utawala naona kama utawashinda kama hamta kuwa wakali wa watala hasa pale wanapokuwa dini zenu. Tumeshudia ya Mwinyi sasa ya Jk, wakeeni musiwacheekee pale wanapohalibu kwani wanawashusha. Mimi nilikuwa na wasiwasi sana pale Obama alipochaguliwa kuiongoza marekali lakini amenifanya niwe proud african kuwa tunaweza kwa kuchaguliwa mara ya pili lakini asingechaguliwa ningelikuwa wa kwanza kumlaumu pia.