Yalini mkuu, vp haikutokaga official
Ni kweli unayosema....diamond ameimba tuu wimbo sio kwa kiwango chake....ameuchukulia poah sana....na ninaona kama pressure ya kuukimbiza utoke hewani imekuwa kubwa sijui kwannProduction mbovu hizi ngoma za design hii anazijuliaga manecky angeenda kwa manecky inependeza zaidi.
Ila audio ina kitu kinamiss labda ilikuwa bado kukamilika.
Na mistari ka design sometimes inakuwa mirefu sana anajaribu kukimbizana nayo.
We si umeaza kuponda hapo auMbona unachanganya mada mkuu, huu ni uzi wa wimbo mpya wa Diamond na Sporah mbona unaleta mambo ya mpambano tena hebu tulia