CP naomba ufafanuzi kidogo coz na mie nimeshawahi jaribu kufanya ulichosema but join air inasoma laini yeyote isipokuwa haiwezi kukonnect kwenye internet,i think its obviously itasema connection fail as U said Join Air haina drivers. but what happen in DC unlocker naona ni kuwa unapoclick flash modem ikiwa inserted kwenye PC inawrite off drivers zote nadhani ndio maana inakwambia the dashboard is free to be writtenNaomba nirudie tena modems za zte vodafone (k3565-z) hazijafungwa narudia tena hazijafungwa tatizo ni ile software ambayo imeingia kwenye computer yako ya mobile connect ndio hairuhusu line tofauti na vodacom. so kama hutaki kuflash modem yako install tu joinAir then weka modem yako ikiwa na line ya airtel. hakikisha drivers za modem zipo installed.( zinakuwa installed pale ulipo install vodafone mobile connect maana kwenye join air hakuna drivers) just instal join Air in your pc mambo mengine kushnei
Unachosema ni kweli coz huwa naona ile UNLOCK haiko active so inamaanisha kweli haziko UNLOCKED sasa umuhimu wa hii program inasaidia tu pale kwenye kuENABLE DIAGNOSTIC PORT hivyo kurahisisha connection maana hii huweza kuweka ZTE propietary USB MODEMNaomba nirudie tena modems za zte vodafone (k3565-z) hazijafungwa narudia tena hazijafungwa tatizo ni ile software ambayo imeingia kwenye computer yako ya mobile connect ndio hairuhusu line tofauti na vodacom. so kama hutaki kuflash modem yako install tu joinAir then weka modem yako ikiwa na line ya airtel. hakikisha drivers za modem zipo installed.( zinakuwa installed pale ulipo install vodafone mobile connect maana kwenye join air hakuna drivers) just instal join Air in your pc mambo mengine kushnei
Mkuu hebu check maelezo yangu hapo juuCP naomba ufafanuzi kidogo coz na mie nimeshawahi jaribu kufanya ulichosema but join air inasoma laini yeyote isipokuwa haiwezi kukonnect kwenye internet,i think its obviously itasema connection fail as U said Join Air haina drivers. but what happen in DC unlocker naona ni kuwa unapoclick flash modem ikiwa inserted kwenye PC inawrite off drivers zote nadhani ndio maana inakwambia the dashboard is free to be written
join air inaconnect vizuri bila tatizo.kuna line zingine za zain bila wao kuziruhusu hazita-connect, vilevile angalioa settings zake kama zipo sahihi. ukishindwa ni-contact tutakwenda step by step.CP naomba ufafanuzi kidogo coz na mie nimeshawahi jaribu kufanya ulichosema but join air inasoma laini yeyote isipokuwa haiwezi kukonnect kwenye internet,i think its obviously itasema connection fail as U said Join Air haina drivers. but what happen in DC unlocker naona ni kuwa unapoclick flash modem ikiwa inserted kwenye PC inawrite off drivers zote nadhani ndio maana inakwambia the dashboard is free to be written
you are right mkuu.Unachosema ni kweli coz huwa naona ile UNLOCK haiko active so inamaanisha kweli haziko UNLOCKED sasa umuhimu wa hii program inasaidia tu pale kwenye kuENABLE DIAGNOSTIC PORT hivyo kurahisisha connection maana hii huweza kuweka ZTE propietary USB MODEM
Naomba nirudie tena modems za zte vodafone (k3565-z) hazijafungwa narudia tena hazijafungwa tatizo ni ile software ambayo imeingia kwenye computer yako ya mobile connect ndio hairuhusu line tofauti na vodacom. so kama hutaki kuflash modem yako install tu joinAir then weka modem yako ikiwa na line ya airtel. hakikisha drivers za modem zipo installed.( zinakuwa installed pale ulipo install vodafone mobile connect maana kwenye join air hakuna drivers) just instal join Air in your pc mambo mengine kushnei
No!, Unaweza kuinstall driver iliyo miss kupitia vodafone connect > help > update driver.ni kweli,join air haina full drivers,so what mnachotakiwa kufanya ni kwenda official site ya vodafone na mu download drivers baada ya kuweka hiyo firmware mpya ya join air,kama driver zipo basi it will detect,kama hamna baad ya ku download,install vodafone original drivers first,then install join air.
pia before kuchakua modem yako inatkiwa uicheck,je ni Y Zte or huawei?
then you can simply follow procudure ili uweze kuchakachua..
Weka laini hiyo ya airtel alafu ukiifungua hiyo DC unlocker uende kwenye SELECT MANUFACTURER unachagua ZTE MODEMS then kwenye SELECT MODEM acha autodect then click search simu modem yako itaditect, modem ikishakuwa Ditected angalia kwenye hayo maelezo kwa chini utaona SIM STATUS kama ikiwa Locked nenda unlock na ukiclick hapo then kwa chini ya unlock utaona enable diagnostically unaclick hapo tena mkuu,Kama SIM STATUS ikiwa unlocked nenda direct kwenye Enable diagnostically. Baada ya hapo itakuwa unlocked sasa ukitaka kutumia Airtel tumia program inatwa Join AIr idownload kweny hii link http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rar
Safi kabisa ukimaliza gonga kibutton cha senkyuu ili izide kugonoga zaidiSenkiyu mkuu nimefuata procedures ni nimepata kitu kama hiki,ndio na download Join air,nitarudi tena mkuu
DC - Unlocker 2 Client 1.00.0575
Detecting card :
selection :
manufacturer - ZTE modems
model - Auto detect (recommended)
Found modem : K3565-Z
Model : Vodafone K3565-Z
IMEI : 353462042102355
Firmware : BD_P673A2V1.0.0B09
Compile date / time : Nov 09 2009 14:04:09
Chipset : Qualcomm MSM6246
NAND Flash : HYNIX_HYG0SGH0MF3
SIM Lock status : unlocked
Enabling ZTE diagnostic port ... OK
Restarting modem ... OK
Diagnostic port successfully enabled !