Hii mnai-handle vipi wakuu

Ukiazi umetoka wapi mkuu... Tushauriane kistaarabu tu mkuu
 
Unaye mlindia kiapo ukute nae anakojoleshwa uko adi macho anayageuzia juu hahaha tumia Tulsa mkuu wanawqke wapo kwa jili yenu afu MTU unajibana bana eti my baby sijui nini na nini....kwanza uyo baby akijua ujachepuka atakuona bonge LA fwala...mkuu changamka.
 
ulie muacha home tunaendelea kuenjoy naye acha uzembe jiongeze huko huko na ww
 
Mmmh
Yajayo yanafurahisha
 
CHAPUTA musiniharibie kijana,jitunze mtoto mzuri huku shemeji yangu yupo salama kabisa na utamkuta salama kama ulivyomuacha ,tangu nijitoe chaputa na kaa nao vzur, kwani hata yeye ananisifia siku iz simchafui kama kipind kile nikiwa chaputa ,sasa ivi ni mwendo wa ling'ang'a ,mwendo wa ngiri meno nje,na siku ukirudi usione ajabu kukuuliza" baby mbona umerudi mapema?" .[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…