Hii mitandao kama 'Tinder' na 'Badoo' inaweza kutumika bila malipo? Maana siwezi hata kutuma meseji

Mkuu

Nakumbuka nilikutana na dem wa chuo cha ushirika huko tinder.. alikuwa mgeni wa hiyo tinder..tulipanga tuka meet na nikaja kula tunda..yan dince day one hakuwahi kuzungumzia hela yaani hakutakaga hata 100

Since then we are ..... na ni dem mxuri balaa

Rafiki yake nfo alimshawish kujiunga tinder kutafuta chatting friends
Full story
 
Scenario zenu ni kama wengi tu niliowaona wanapakua Tantan. Mwanzoni ilionekana kama app ya kuchat wakaanza kushangaa mbona wanatongozwa tu afu wanachat na wanaume pekee.
Na kuna mmoja alikuwa na sikumbuki Badoo au Tinder hajui kama ni dating app akaweka picha yake halisi. Kuna uzi humu niliona wanamtaja manzi mmoja napishana nae cafeteria na picha waloweka ni location flani pale nikapakua app kuhakikisha ni yeye. Kwanza naishi karibu yake ile kutafuta nearby alikuwepo karibu zaidi
Huku mtafuta
 
Back
Top Bottom