Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,813
- 1,629
Aende kwa back-upSasa akizidiwa afanyaje kama mwenzie hataki kumpa burudani sababu ya mimba kuuma?
Aende kwa back-upSasa akizidiwa afanyaje kama mwenzie hataki kumpa burudani sababu ya mimba kuuma?
Nami naomba unifungulie madam ili nije nikuoneNi kweli nimeifunga mpaka mtu nimuanze mie
Kwanini? Huo ushauri hata daktari anaweza mpatia. Kuna mwingine throughout the pregnancy akijaribu kusex ni damu tu utalazimisha kufanya?
Kupendana kwenye shida na raha, magonjwa na uzima ndio ina apply hapo.Kunanukia uchepukaji hapo
Huyo bwashe sidhani kama atakuwa patient kiasi hicho
Nasubiri text yako Madame ili nione kama PM yako ipo wazi
Yaani mpaka umuanze wewe?? Kwanini ulifunga??Ni kweli nimeifunga mpaka mtu nimuanze mie
Mapema sana haiwezi kuwaNenda hospitali kuna changamoto nyingi za ujauzito kwa akina Mama
Kama ni delicate utapewa bed rest
Pole
Bibie bado...au jamaa bado anazingua nilete mie barua kesho ili ndoa iwe kesho kutwa...kuna watu hawapo serious.... una matatizo
Ni mimba changa sana ina mwezi mmoja na siku kadhaa tu,na si mimba yangu ya kwanza,napata maumivu makali sana chini ya kitovu nikipumzika leo kesho mtindo mmoja,na kizazi kimeshuka kwa kiasi fulani mara nyingi kinaguswa tunapokuwa tunalea kiumbe,nimejaribu kuongea na watu wawili watatu kila mtu anasema lake.
Mwingine anasema sio dalili nzuri mimba inaweza ikachoropoka hii hali isipodhibitiwa(Kuonana na daktari) mwingine anasema hii ni hali ya kawaida itapotea yenyewe wala sihitaji kumeza hata panadol za kutuliza maumivu,mwingine anasema alipokuwa na mimba ya mapacha alikuwa na dalili hizo .Sasa nikaona si vibaya nikaja kwenu Wataalam wa jukwaa hili mnisaidie tafadhali.
[/QUOT
Bibie bado...au jamaa bado anazingua nilete mie barua kesho ili ndoa iwe kesho kutwa...kuna watu hawapo serious...
Yaani mpaka umuanze wewe?? Kwanini ulifunga??
Nasubiri text yako Madame ili nione kama PM yako ipo wazi
Watu hawachelewi...mbona hatualikani sasa...Mie nishaolewa na nilipo ni mama kijacho alhamdulillah
MaashaaAllaah...Mie nishaolewa na nilipo ni mama kijacho alhamdulillah