Hii mimba sihusiki nayo kabisa...

Siyo mimba yako. Kuna mwanaume alimfarua kati siku 10-14 kabla yako(labda alibakwa,ndo maana hampendi), pia mimba ya kawaida haisomi 'positive 'kwa kipimo cha mkojo(U.P.T) ndani ya wiki moja. Mwambie mtapima DNA,baada ya mtoto kuzaliwa,siyo kuangalia viungo vyake vimefanana na nani kati yenu au kwenye familia zenu
 
Huwa sipigizani kelele na wehu wanaojiona wana akili timamu.
Wana sayansi wenyewe wanathibitisha huwa inatokea japo ni mara chache sasa sijui unampigia nani hapa kelele za kilimbukeni?
Unashindwa hata kutembea mitandaoni kusoma? Jinga kweli.
 
Reactions: Pep
Mambo yote ya Science ni kama theories tuu. Ambazo hizo theory zikifanyiwa majaribio na zikirudisha majibu "sawa" kila zinapojaribiwa, wana-assume ni "Facts ". Hiyo haimaanishi ikiwa ni fact haiwezi kuwa proven wrong.

Scientists hawajawahi kuacha kufanya utafiti ndiyo maana kama unafuatilia sana utaona maelezo yao kama vile yanapingana, unakuta mwanzo walisema hivi, baada ya muda wakasema hivi, na sasa wanasema hivi., ni kwasababu bado wanaendelea na utafiti kugundua uwezekano wa kitu fulani kutokea na sababu zinazopelekea kitu kutokea.

Kuna Case zipo kwenye mitandao ambazo zinafanyiwa research. Na zinaonekana kuna wanawake kweli wanabeba ujauzito wakiwa period au siku moja, mbili , tatu kabla hajaingia period but there's a lesser chance.

Wenye sayansi yao wanasema "For birth control, the only safe assumption is that your partner could get pregnant anytime you have unprotected sex."

Vipindi vingine kwenye mwezi may have a lower probability(uwezekano mdogo) lakini haimaanishi huwa haitokei.

Kwahiyo ukisoma article mbali mbali ukiachana na tulizofundishwa shuleni utagundua "It's possible though uncommon". Kumbuka hata kama chance ni 0.0000001% bado inamaana kubwa sana kwa watafiti. Na those chances depends on a variety of factors. Nimesema tofauti na tulivofundishwa shuleni kwa sababu vitabu vya shuleni havifanyiwi updates mara kwa mara kila baada ya tafiti mpya kukamilika. Elimu ya darasani tuu haitoshi inatubidi kuendelea kutafuta maarifa mapya.

Muda wote ni muhimu kuepuka unprotected sex tofauti na hapo Utashangazwa. Na utafiti mpya utaanzia kwako.
PS, mimi sio scientist, naweza nikawa nimetumia terms ambazo siyo za kitaalamu ila cha msingi ni ujumbe.
 
Wenzako wamekariri notes za darasani na hawataki kupanua akili zaidi ya hapo. Hapa kamwe hawawezi kukuelewa maana hawakufundishwa hii shuleni😅😅😅
Ukiwaambia kuna mtoto wa miaka 5, 6, 8, 9 walibeba mimba na kuzaa watoto kwenye huo umri patachimbika hapa. Kwa sababu darasani hawakufundishwa.
 
Siongelei elimu za darasani pekee naongelea real life I have seen many people imehapen kwao hivyo, so mm na base kwa baadhi ya samples nyingi tu za watu iko hivyo.
All in all 1+2= it may be 5 it depends on how tu defend yo answer.
Thanks
 
Na umemuweza kweli hii mambo wadada wanakuwa na mijamaa mingi alafu likitokea la kutokea hawajui ni ya nani. Na kila mmoja abebe mzigo wake
 
Haya ya kuzaa kwenye umri wa chini ya miaka 10 huwa yananishangaza. Ngoja nifuatilie kwa undani.
 
SIKU MOJA MY WIFE KANAMBIA MUME WANGU MIMI MTU AKIJA AKISEMA ANA MIMBA YAKO NAMKATALIA WAZI WAZI NAKULIA YAMINI KABISA.

MIMI HUMPA MIMBA MWANAMKE PALE TU NINAPOAMUA NA BILA MBINUNYANGU HII KUNA KITOTO NINGESINGIZIWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu ww umefanya haraka kuikataa mapema ungengoja mpk ifike miezi 4 ndio unakataa halafu ajijue mwenyew shezi zake ilaukiikataa mapema ataitoa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ajivue mapema niliwahi kulea mtu na mimba miezi akajifungua, nikipiga hesabu zangu ni miezi sita toka kutungwa mimba hadi kuzaa unaweza pewa kesi ya mauaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mrembo kakuona mnyonge katika list yake. Kaamua kukubambikia kesi tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…