Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Utamuaminije mtu bila maandishi na wewe kama msomi wa shahada? watu wa kawaida wanajifunza nini kutoka kwako kama hakuna written agreement/document? mfano ingetokea akafa japo hatuombei, nani angetambua makubaliano yenu ya mdomo?makubaliano ni mimi kufanya kazi na yeye kunilipa mshahara, lakini nlipoona analimbikiza miezi nilimuuliza akasema hamna shida atanilipa hela yote bila shida, nlimuamini kwa kuwa ni mtu na heshima zake za juu tu, lakini saivi kanichenjia
yaani namhurumia sana huyu jamaa, maana nikiamua kumwanika madudu yake hana kazi kwa mkulu Ila namlindia heshima tu.Dah kaka una washaur wabaya ever... katika historia yako pale tu ulipopata nafasi ya kubaki na kupata nafas ya kuingia jw a watu wakakwambia uendelee na uchuo ni uchawi tosha... by the way.. pole bro.. matatizo ni ya kwetu.. hapo amna namna ni kumfungulia Madai tu na ikiwezekana na tort juu
DahhhDah kaka una washaur wabaya ever... katika historia yako pale tu ulipopata nafasi ya kubaki na kupata nafas ya kuingia jw a watu wakakwambia uendelee na uchuo ni uchawi tosha... by the way.. pole bro.. matatizo ni ya kwetu.. hapo amna namna ni kumfungulia Madai tu na ikiwezekana na tort juu
soma vizuri Uzi wangu ujue nilitoa wapi, sikuwa masikini kiivo mkuu nlikuwa na vipesa vyangu aseeWe Jamaa kilichokuponza ni kulidhika kushika Pesa za Mtu mwingine na kulala nazo ghetto. Ukahisi kama ni zako.
Huwezi kukataa kuwa ulikuwa humpigi ganji. Itakuaje Mtu akupi mshahara halafu uwe umelidhika kama nawe hauli ganji? Hata kama una miradi yako pembeni haiwezekani.
Boss wako anakufikiriaje akikuona una Pikipiki, Grocery na umeoa wakati akupi mshahara?
Mtishie Kaka kuwa utavujisha kwa Mkulu wa magogoni[emoji3]Huyo jamaa anaroho ya kutu aseeeh.. yeye inaonekana ni wa kutumia watu tu hasa ndugu zake kwa faida yake na hili ungelielewa mapema kabla ya kurudi mara ya pili.
Naamini hakuna njia moja ya kutatua tatizo moja. Ingekuwa mimi ningemfanyia haya.
1. Kulipeleka kwa wazee wa ukoo wanaoheshimiwa na ndugu zenu mlizungumze kwa undani. Ikishindikana...
2. Kwenda kwenye vyombo vya sheria hasa kwa kuanzia kwa serikali za mitaa ikiwezekana ni kiongozi basi ataona aibu yakishindikana fungua kesi.
3. Kama nipo position ambayo nashika pesa za kampuni ningejilipa tena zaidi ya ninachomdai ili aonje niliyoonja.
Mimi kwenye ishu za kumdai mtu natumia ubabe..kama nakudai nakuja kwako nakujabmisha nakupa siku 2 kwa hili nimefanikiwa kwa aslimia nyingi.
Nakushauri achana naye usimpeleke kwenye vya dola wala kwa wazee anza upya kwakuwa it is not too late kuanza upya.Broo kuna watu wenye roho mbaya sana Ila ukimuona akijinasibu ITV you can't believe if he would be a such devil!!