Hii mifuko ya plastiki imekatazwa? au wamesahau kutoa ufafanuzi kuwa ni mifuko ya plastiki

Hivi Mpira na Plastiki ni sawa eeeh!?
Hawa ndio wasomi tunaowategemea katika jamii yetu watuondoe ujinga sisi Mangumbaru
 
sikia kwa makini wamekataza mifuko ya plastiki,lakini hawajakataza vifungashio vya plastiki,hivyo wametenga maeneo ambayo kila mwenye mabaki ya vifungashio au mifuko ya plastiki,wapeleke hapo kwa ajili ya kuteketezwa
SOMA KANUNI ZAKE KWANZA
 
Hii kitu nayo siku hizi mbona haipatokani kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…