Hii midoli nayo imezidi daah!

Hii midoli nayo imezidi daah!

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
422
Reaction score
557
FB_IMG_1574078532551.jpg
 
Hii yote inaletwa na ukweli kuwa mwanamke ambaye
Hana tako la kushtua
Hana rangi flani
Nywele flani
Macho flani
Midomo flani
Kifua flani
Hips flani

Ni ngumu kidogo kuonekana hivyo basi wanakimbilia huko ili wenye macho muone
 
Hapa tu wajipange wadada kwa kesi
Nimekuchukua tu afika gheto kumbe daah nyonyo ziko kitovuni wakati road zilukuwa embe bolibo.
Hii kesi.
1. Wizi wa kuaminiwa
2. UTAPELI
3. Kujichukulia mali kwa njia ya ulaghai
4. Udanganyifu na kuongopa

MAWAKILI KAENI MKAO WA KULA
 
Hivi hii si itawaletea magonjwa Kweli kutokana na mkojo kubaki?!! Wataalamu wa Afya mtujuze.
Mgunduzi wa hicho kifaa hajaangalia sanitation juu ya wanawake maana hakuna namna mwanamke anaweza enda haja ndogo halafu asinawe kwa asili ya maumbile yake.
 
Naona wanaume ndio mmekuwa wakosoaji wakubwa wakati kila siku mnakandia wadada wasio na hizo saa sita.

Unadhani hawawasikii. Kama ni kweli wanazivaaga tulieni kwani wamejua kujiongeza.
 
Wanawake wengi hasa wa mjini zaidi ya 50% ya mwili wao ni fake
Chanzo ni nyie Me sababu ikitokea mdada yupo kawaida halafu ajitupie labda huko mitandaoni.

Baadhi ya Me wanageuka mashine za VAR. 🤣

Kama hana rasta mtasema
Hana makeup mtasema
Nyon*o zimelala pia mtasema
Hana kalio ndio mtasema mpaka basi.
Akiwa na tumbo ndio kabisaaa.

Waacheni waende na kasi yenu Mkuu. 😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom