Nipo hapa moja ya pub maarufu barabara ya Sam Nujoma. Jamaa mmoja yupo na mchepuko na rafiki wa mchepuko.
Mchepuko ukaanza kumponda wife wa jamaa. Mara ya kwanza jamaa akaona poa tu pengine kw sababu yupo tingas, lakini kashfa zilivyozidi jamaa kakasirika na kuamua kuinuka.
Mchepuko na shosti wake wamembembeleza jamaa lakini katia ngumu na kuondoka!!
Nimemsifu.
Baki njia kuu!!