Hii michango sasa imezidi

Hii michango sasa imezidi

nassa hivi unajua umejiaibisha sana kwa kulalamikia vijisenti kidogo hivyo? Ni vile tu sijui kama wewe ni ME au KE. The reality is hakuna mtu asiyependa 'kampani' so unapopewa card jua hata aliyekupa amependa kampani yako. FYI umekosea sana.
 
Last edited by a moderator:
[MENTION=85218]nassa[/MENTION] hivi unajua umejiaibisha sana kwa kulalamikia vijisenti kidogo hivyo? Ni vile tu sijui kama wewe ni ME au KE. The reality is hakuna mtu asiyependa 'kampani' so unapopewa card jua hata aliyekupa amependa kampani yako. FYI umekosea sana.

Maskini wa leo,
Ndie tajiri wa kesho.
Hubby mzima?
 
mie leo nimepewa kali ya mwaka. Kuna binamu yangu aliniambia last month kuwa bintiye anapata kipaimara. Nikamuambia poa. Leo ananiambia unajua wewe ndio Godmother wake? Kidogo nizimie. Manake hapo kuna blackmail ya kununua nguo ya mtoto (traditionally ndo inakuwaga kazi ya godmother), na bado kwenda manake anakaa mbali karibia na mbinguni! Nimechoka manake kiddo mwenyewe sijawahi kummeet, naskia alibatizwa hospitali ati nikaandikwa mie!

Maj. Gen. Unabalaa wewe unalo hilo utalinywa btw nikaribishe nikusaidie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom