We just reset your limit account to 0. You have a 'LimitSupervision' subscription with limit -5000000.0 for 0 Tsh per month, valid until 01.01.2050.
Jamani wana jf nimepokea message hiyo kutoka Vodacom mwenye uelewa ina maanisha nini naomba anisaidie