'Hii mboga itatosha'??

Simple engineering solution; Ratio ya 4:1

= Matonge 4 kwa Mboga 1
mkuu LexAid, nikipiga mahesabu ya hiyo ratio naona kama tonge moja litakuwa kama kilo 1.5 hivi. Kumbuka liugali hilo halina hata glass ya maji au ndicho dogo alikuwa anakumbuka?
 
Yaani umenichekesha sana wewe. Duuuh kama nakuona.
 
mkuu LexAid, nikipiga mahesabu ya hiyo ratio naona kama tonge moja litakuwa kama kilo 1.5 hivi. Kumbuka liugali hilo halina hata glass ya maji au ndicho dogo alikuwa anakumbuka?

Usimzarau dogo lakini....Saizi ya matonge yake kama ya Babaubaya!
 
Yaani umenichekesha sana wewe. Duuuh kama nakuona.
King'asti ukija huku kwetu uswazi tunakoishi uandae mbavu za kucheka. We utaona vichekesho lakini sisi ndio maisha yetu ya kila siku.

Ila kwenye hiyo staili inabidi uwe na spidi ya kula. Maana unaweza ukajikuta umebaki na tonge lako lile lile ukitahamaki sahani tupu...lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…