'Hii mboga itatosha'??

Si unamwona yuko vzr,na mboga itatosha
 
Mboga itatosha tonge zingine unapotezea bila kuchovya kwenye mboga, life goes on.
 
Hahahahahahahaha... Dada Paloma unamwona mumeo alivyokuwa mdogo!??lol

etu tupe za akiwa mkubwa...
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda hii picha,we huoni dogo alivyo na siha njema
uncompared na wala chips...kuvunja biskuti tu mtoto hawezi lol
 
Mboga itatosha tonge zingine unapotezea bila kuchovya kwenye mboga, life goes on.
Lily Flower, unaijua ile staili ya kula ugali unakata tonge kuubwa linajaa kiganjani. Unaliviringisha halafu unaligawa, kipande kimoja kinashikwa na dole gumba na kingine kinabaki kiganjani. Halafu unaanza kulimega kavukavu hadi linapungua. Kipande kinachobaki unakiviringisha halafu unatoboa tundu kubwa pale katikati, unalijaza mchuzi halafu unalirushia mdomoni. Mwendo unakua ni huo huo hadi ugali unaisha. Ukipiga hivyo mara tatu tu umeshashiba.

Staili hii hutumika kama watu mko wengi halafu mnakula ugali kwenye sahani moja na mboga kwenye bakuli moja, hasa kama ugali na mboga ni kidogo.
 
hahahaaaaaa.... Mentor umezoa tonge nyama tonge nyama......my sosoliso nimzee wa kaaazi!!! hii picha yake ya utoto proves it all! ya ukubwa si unamwona kwenye avatar yake.........!!! yani mie naonekana kama kibebi chake.............
 
Last edited by a moderator:
mbona ni kama vile mchumi daraja la kwanza udogoni, au mnaonaje?
 
hahahaaaaaa.... Mentor umezoa tonge nyama tonge nyama......my sosoliso nimzee wa kaaazi!!! hii picha yake ya utoto proves it all! ya ukubwa si unamwona kwenye avatar yake.........!!! yani mie naonekana kama kibebi chake.............


Unamaanisha nilichokisoma au!??
 
hahahaaaaaa.... Mentor umezoa tonge nyama tonge nyama......my sosoliso nimzee wa kaaazi!!! hii picha yake ya utoto proves it all! ya ukubwa si unamwona kwenye avatar yake.........!!! yani mie naonekana kama kibebi chake.............
unamaanisha haya matonge na kamboga haka ndiyo yamezaa huu mwili wa sosoliso??
 
duh, mkuu Mkeshaji umeniacha hoi ikiwa ni pamoja na kunikumbusha mbali sana.
Kweli aliyesema jf ni zaidi ya university wala hakudanganya
 
unamaanisha haya matonge na kamboga haka ndiyo yamezaa huu mwili wa sosoliso??

haswaaaaaa..........mwili haujengwi chipsi mayai na mishkaki!!! sosoliso embu njoo useme ile menyu yako..........dumu la lita tano la juice ya stafeli na parachichi mpaka saa nne asubuhi imeisha! mayai ya bata nane daily..etc siwezi hata endelea manake inatia uvivu kuandika hiyo menyu!!!
 
Last edited by a moderator:
Immaculate smile.....kwa kweli dogo kafurahi toka moyoni hakuna unafiki. I wish watoto wote duniani wangekuwa na uhakika wa mlo kama dogo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…