M mama kubwa JF-Expert Member Nov 3, 2010 5,417 8,401 Sep 8, 2021 #41 Daudi Mchambuzi said: Kaeni chini na huyo mpishi it seems mna mgogoro maana sio kwa mapishi hayo aliyokupikia. Click to expand... Akae na fire extinguisher. Maana kinachofuata mhhh.
Daudi Mchambuzi said: Kaeni chini na huyo mpishi it seems mna mgogoro maana sio kwa mapishi hayo aliyokupikia. Click to expand... Akae na fire extinguisher. Maana kinachofuata mhhh.
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,331 14,259 Sep 9, 2021 #42 Capitano said: Mmmh sijui nazeeka!! mbona mie sijaona mbga kwenye hiyo picha? Yaani mie nimeona dagaa tu Click to expand... Kuna nyanya chungu pia.
Capitano said: Mmmh sijui nazeeka!! mbona mie sijaona mbga kwenye hiyo picha? Yaani mie nimeona dagaa tu Click to expand... Kuna nyanya chungu pia.
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,331 14,259 Sep 9, 2021 #43 KENZY said: Inaonekana umeila mfululizo sio bure ni ama huipendi au unataka kupata uhakika ili uhakiki taarifa fulani Mkuu inaongeza protein hiyo. Click to expand... Ameuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu.
KENZY said: Inaonekana umeila mfululizo sio bure ni ama huipendi au unataka kupata uhakika ili uhakiki taarifa fulani Mkuu inaongeza protein hiyo. Click to expand... Ameuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu.
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,331 14,259 Sep 9, 2021 #44 Mshana Jr said: Ute kwenye viungo na maungio Jr Click to expand... Sure
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,018 94,063 Sep 9, 2021 #46 A good source of Calcium, Phosphorus and tonnes of vitamins
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,223 56,875 Sep 9, 2021 #47 Fall Army Worm said: Ameuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu. Click to expand... Hukohuko
Fall Army Worm said: Ameuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu. Click to expand... Hukohuko