Hii mboga inafaida gani mwilini?

Daaah wanakosea sana hadi inaanza kuzoeleka ati nyama nayo ni mboga na samaki pia ni mboga. Sisi waswahili mboga ni mchicha, kisamvu nakadhalika
mi najua mboga nikile kinachosindikiza/rahisisha ulaji. Kama vile ugali na mboga ( nyama, dagaa, majani).
Au sio sahihi?
 
mi najua mboga nikile kinachosindikiza/rahisisha ulaji. Kama vile ugali na mboga ( nyama, dagaa, majani).
Au sio sahihi?
Sio ssahihi kabisa hivyo vyote vinaitwa vitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…