Hii mashine bongo ipo kweli?

Hii mashine bongo ipo kweli?

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,671
Reaction score
21,514
IMG_20221021_125227.jpg

Ni mashine ya kulazia matofali au kuweka Paving. Utagundua kuwa kuna nafasi ya ziada chini ya inapoishia rangi ya njano. Hiyo ni kwa sababu inaweza kurekebishwa ili kubeba saizi nyingi tofauti za barabara.
 
MAARIFA yanaongezeka kwa Kasi sana.

Sikutegemea kama Kuna kitu kama hiki kiukweli.

Hiyo ni technologia ya Hali ya Juu sana
 
Mbona kama matofali hapo juu yamepangwa shagalabagala?
 
Una ugomvi na mafundi aisee wale wapi?
Ndio athari ya teknolojia, tunakoelekea watu wengi tutakosa ajirra sababu ya teknolojia mzee, haikusubiri wala kukufata, ila wewe ndio uifate.
Kazi ya watu 10 kwa masaa 10 inaweza kufanywa na machine(operator mmoja) kwa chini ya lisaa, hapo ajira lazima ziende na maji.
 
Back
Top Bottom