Hii lugha jamani hii....

Hii lugha jamani hii....

haahaahhaaaa..asante sana..
haahahahahahahahhhh!!
 
Nimecheka mpaka nilokaa nao jirani wakadhani nimechizika.
 
MKE :Kuna nini kwa jirani??
MME:Kutakua na birthday
MKE:Ya nani?
MME:Itakua ya Tuyu
MKE:Tuyu ndio nani?
MME:sijui ndio nani nimesikia wanaimba "happy birthday, Tuyu "

Teh teh teh teh!!!!!!
Hii kali kuliko!...
 
Back
Top Bottom